Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 719
Ni mbunge wangu huyo lakini huwa simuelewi huyu mwanamama au kwa sababu ya familia anayotoka?
kazungumza kwa akili sana swala la kupanga bajeti wakati pesa huna na huna uhakika wa kupata. kenge mmepata kichwa sana.Ni mbunge wangu, na ni jirani yangu huko jimboni. Tumeshamchoka huyu mama..
Ni mbunge wangu, na ni jirani yangu huko jimboni. Tumeshamchoka huyu mama..
Shetani cccmWao ni kushangilia kila wanapoibiwa na hawawezi kubadilika wala kujiuliza nini viongozi wao wanawafanyia eti wasije kukosa bang viroba vinavyo wajaza ujinga
huna lolote kusema aseme msigwa wakisema wengine nongwa,kawaida ya chadema haitaki kukosolewa,mnapigwa changa la macho na mwenyekiti wenu,amenunua nyumba ya bei mbaya dubai lkn hamyaoni kwa sababu kafanya bwana mbowe,atakuibieni hadi nanihii zenu lkn mtamshangilia,wacheni ushabiki wa kinafiki,bwana mbowe ni bwana tu kwenu hamuezi kumfanya lolote,wamelipwa hela za kusafiri vadala yake hawasafiri na kula pesa za wavuja jasho,wake zao wapo marekani na kwenda kuwapumzisha dubai,nyambafu zako wewe,ulizeni uchaguzi wa mwenyekiti uone km hamtofukuzwa.

Huyu mama hakuna alichofanya nyumbani ile Nkaka hakuna kitu kashasha chuo kilishakufa bora tungempa katarama wa BugandikaMimi tunatoka kijiji kimoja lakini hakuna alichokifanya bado tuna barabara mbovu kabisa. Hiki kizazi cha Nshunju ni bure kabisa