Mhh....! ngoja wataalamu zaid watakuelekeza ila inategemeana na aina ya assistantship. mfano kama ni graduate assistantship unaenda labda US hapa utasoma huku unawasaidia kazi mfano km ni engineer unafanya research na kusoma/kufundisha, ile hela unayopewa unaitumia kulipia accomodation na misosi au upate profesa wa chuo hicho unachoenda akudhamini, na wakati mwingine assistantship husaidia kulipa nusu ya ada kulingana na vitendo au uhitaji wa chuo/mhusika aliyeamua kuku-assist.