STILL BELIEVE
Member
- Aug 1, 2014
- 9
- 4
Habari za mchana wanajamvi.Vp paper mmeionaje wakuu?!!
Haha wakija watakuambia ile Pepa hata Charles Kichere hachomoi!Habari za mchana wanajamvi.Vp paper mmeionaje wakuu?!!
Hahahaha daaah!!! Hata commissioner???? Kweli wa swahili visingizio vyetuHaha wakija watakuambia ile Pepa hata Charles Kichere hachomoi!
Lete picha...wacha manenoKwa idad ya watu niliyoiona pale DUCE Leo kweli Bongo Msoto.....Wasomi Wengi Ajira Hakuna.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe wanasemaga Bongo bahati mbaya.Kwa idad ya watu niliyoiona pale DUCE Leo kweli Bongo Msoto.....Wasomi Wengi Ajira Hakuna.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu kweli balaa ila Nadhani sio wote amabao hawana ajira ila Nadhani wengine walipo hapana future hii ndo ukweli wanaona TRA ni bomba...
Huo ndo uhasilia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp pepa ilikuajeNi kwel mtu anayetafuta Ajira Ambae hana Kazi Kabisa......Prado Unalitoa wap? Bora wenzang na mm wale waliokua Wanasubir daladala hao kidogo Iman inakuja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unashindwa kujua parts of account; title, debit na credit side, unashindwa kujua revenue recognition, unashindwa kujua vouching na objectives zake?Habari za mchana wanajamvi.Vp paper mmeionaje wakuu?!!