Itabidi nijaribu manake frankly speaking nimezoea IE na FF
Nashukuru sana ila nakuomba kama hutajali unieleweshe kwa kutumia IT terms au kingereza cha kawaida samahani sana lakiniHilo tatizo lipo sana, sasa cha kufanya ni kuingia kwa kupitia client nyingine. Pakua 'yahoo Messenger', kisha isanikishe kwenye dadavuzi mpakato yako. Kwa hiyo utakuwa una ingia yahoo kupitia hii Messenger, utakapo kuwa hapo utabofya kitufe cha 'mail' ambacho kitafungua kivinjari chaguo msingi chako (IE au MF). Njia hii nimeithibitisha na naamini hautakuwa na tatizo tena.
lete mlisho-nyuma kama utajaribu.
Nashukuru sana ila nakuomba kama hutajali unieleweshe kwa kutumia IT terms au kingereza cha kawaida samahani sana lakini
Nashukuru sana ila nakuomba kama hutajali unieleweshe kwa kutumia IT terms au kingereza cha kawaida samahani sana lakini
Possibly jamaa mhindi katumia google translator
Mmang'ati wa Endamaghan mimi. Haya maneno yalifanyiwa kazi na UDSM, muda kidogo uliopita. Kulikuwa na mradi wa kuswahilisha programu huria (Open Swahili Localization Project) hapa ndipo nilipochota istilahi hizo. Jaribu na wewe pia, inaburudisha.