asprin uko juu

Uko wapi bana,
Mi nilikuahidi maji ya dhahabu umetimua mbio kabisa,
kumbe wewe hauja maujanja eeeh.

Waaaoh! Thats so lovely....Umenifurahisha sana mke wangu. Jiandae na omba emergency leave kabisa, nakupitia hapo twenzetu vekeshen mpaka wikiendi, tukaboreshe penzi letu hapa........

 
Uko wapi bana,
Mi nilikuahidi maji ya dhahabu umetimua mbio kabisa,
kumbe wewe hauja maujanja eeeh.

Khaaa.............!!

Khaaa ndo nini sasa kumbe wewe kaoga eeh.

Mimi sio mwoga bana, nasoma katikati ya mistari hapo LOL

Ofa imepita ngoja tujipange tena,
au ni mama matesha alikubana sana.

Hahahaha... mama Matesha anabana mpaka BOXER..


:israel::israel:Ahaaa...kumbe...will be back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…