asprin uko juu

Leo ni Ijumaa toa mbili. Afu laaziz inakuwaje tunaulizana siku katikati ya wiki? Unataka tumkimbie mkoloni mida hii. Afu waweza nambia mbona penzi leti limepungua sana siku hizi cacico? Au hommie wangu Kaizer kashapindua serikali?
hii ni zaidi ya unavyodhania! shem wangu ni shem wangu, heshima yake sana tu! wala sijapunguza hun, nimeona nikae pembe nimpe nafasi BADILI TABIA asije jiua bureeeeeeee! mi luv u always, mwahhhh!
 
Last edited by a moderator:
Dalili ya mvua ni mawingu!!
Damn! Asprin Kwishney!! Ngoja nirudi zangu kijijini..

bby hakuna dalili wala nini?? labda we usepe wa kwanza, ukaguzi wako tu ulinifanya nikafall, iweje leo niondoke mwenyewe tena? shaka ondoa and dont go vijijini, kam this way plizzz, luv u my Asprin!
 
Last edited by a moderator:
bby hakuna dalili wala nini?? labda we usepe wa kwanza, ukaguzi wako tu ulinifanya nikafall, iweje leo niondoke mwenyewe tena? shaka ondoa and dont go vijijini, kam this way plizzz, luv u my Asprin!
Afazali asee, manake nlianza kupaniki nikawa najidunga mipombe. Chezeya kupigwa chini na cacico?

 
Last edited by a moderator:
Afazali asee, manake nlianza kupaniki nikawa najidunga mipombe. Chezeya kupigwa chini na cacico?


poleje sasa??? nipo kwaajili yako, no wories!
 
kha my dada, how r u?? mawazo yangu yote leo alhamis, kumbe j5?? hili libichwa hili?!

mamitoo halafu Kaizer wangu umeshamwambia kuwa nampenda? jamani natuma salamu zangu kwake kupitia wewe mwambie nampenda sana tena he is ever sweet to me with him ma life is complete and joyous.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…