TabletFellow
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 918
- 274
Hizi ID mbona naona manyota nyota tu na mafua yanabana......khaaaaa!!!
Anyway, karibu mwaya na kama unataka location we jiendee zako Gynecology Center
Nawe naye tusi liko wapi hapo???nawe kwa matusi siku hizi hujambo,..
Kazi ya Ivuga hiyo nini?
kamata wadi ya akina mama, bado haijajaa
hakikisha wanakutunza mbali na watoto, joto kali, mwanga na unyevu!!:dance::dance::dance::dance:
Nawe naye tusi liko wapi hapo???
Ni vijimambo na vipo daily mkuu..
vipi ile kampeni ya Groan imekufa au ipo? nataka kuhamsisha hebu nipe update
:tonguez:
Hizi ID mbona naona manyota nyota tu na mafua yanabana......khaaaaa!!!
Au mlipigiana simu mje msajili ID hizi wakati mmoja??
mmmmh, let me not be more inquisitive....., karibu mwaya na kama unataka location we jiendee zako Gynecology Center
Huyu ni mtu mmoja,kaja na ID mbili afu ana comment as if ni watu wawili tofauti,..
kazi unayo hata hujui kazi ya ID mbili,...
Mimi ID yangu nyingine huwezi jua kama ni speaker,...
Matusi labdaYaani wewe unapenda sana matusi na kutusi! Ngoja dawa za kumeza na kunywa utafutiwe!
Matusi labda
kutusi umenionea..
Si dhani kama kuna dawa itakayonitibu...
samahani..
Dawa zipo hata upasuaji ikibidi! Lol
cheat-cheat
chit chat ni nini??