Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
Mambo vipi wadau. Leo asubuhi wakat nawasha redio nikasikia wimbo mpya wa aslay unapigwa clouds. Baada ya wimbo kuisha nikasikia Fredwaa akisema kuwa Dogo amesajiliwa kwenye Lebo ya Alikiba pamoja namsanii mwingine anaeitwa Jokate. Ni jambo zuri sana japo sijaelewa mustakabali wa wale wasanii anaowasimamia mwenyewe Aslay watakuwa chini ya nani ama atamuvu nao kwa kiba.?
Hakuna shida maana ambao hawakuwa mashabiki wake na ni team Kiba watamuunga mkono rasmi..Angebak mwenyew tuu,maana hapa tuliokua washabik wake ambao pia ni team mond tushaachefukwa.
Tatzo alikiba ana kimavi,...yuko wap ommy,baraka etc,yaan dogo kachemka huo ndo ukwelHakuna shida maana ambao hawakuwa mashabiki wake na ni team Kiba watamuunga mkono rasmi..
Vita mpya mjin. Marombosso vs Aslay
team hazijengiAngebak mwenyew tuu,maana hapa tuliokua washabik wake ambao pia ni team mond tushaachefukwa.