Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

kama hauamini kama Elisha mtishibi alishindana na viongozi wa serikali, kwanini alisimamisha mvua isinyeshe miaka 3.5? kama kweli huwa unasoma Le Bible
Achana naye huyo...asiyeelewa, haelewi tu..giza baya...hongera kwa kumpa somo.
 
UMETUMWA? AU NA WW NI MFIA CHAMA?
 
Kakobe amepotea hadi kufikia hatua kanisani kwake Kusali Kwan cd anatafuta PA kutokea, inasemekana Jaya mapato ya sadaka yameshuka siku hizi
 
ACHA UNAFIKI HAYAWANI MKUBWA WEWE. KUBWA JINGA KABISA WW
 
Kama ni kweli na hatafuti kiki bas huyu bwana ana tufaaa... mark my words tuko kwenye hatua za mwisho kabisa za ukombozi
 
*ASKOFU KAKOBE AJIPE MUDA KUTAFAKARI ...*

.........Watanzania Wazalendo tunamuona Rais Magufuli ni Mkombozi kwa Taifa letu......
*Na Shilatu E.J*
ni mkombozi kutoka kwenye utumwa au ukoloni upi? wa JK? utatueleza vipi kuhusu hapa majuzi mtwana na mkoloni wake walikuwa wote pale Dodoma wakisuguana mabega, kugongeana bilauli za mvinyo na kucheka kwa bashasha?

kauli yako hapo juu inadhihirisha kuwa ni wewe ndiye mwenye uhitaji mkubwa sana wa ukombozi wa fikra!
 
Duu.....hizi hoja za kishoga kabisa!!!

Taifa hili linateketezwa na ccm.....pengo nadhani umesikia aliyoyasema Leo madhabauni, siasa tupu lkn kwa kuwa anampamba mungu mtu wa Tanzania hana kosa...
 
Ananikumbusha marehemu Christofa Mtikila!
 
Yehodaya upo sahihi Mkuu lakini kwa mtu kama Kakobe haitaji kumtafuta nani ampelekee ujumbe Mh. ilitakiwa yeye mwenyewe afuate taratibu za kumuona Magufuri kuliko kuongea sehemu za ibada mambo ya siasa hata kama ni ushauri mzuri kwa mazingira aliyoyatoa inaleta chuki baina yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…