Umwa na wewe moyo tukupeleke ukitoka useme huo utumbo.Napata mashaka na mtumishi wa Mungu Pengo kujua kigezo alichotumia kutoa kauli hiyo.
Hivi anajua kuwa huduma aliyokuwa anapewa yeye pale haina tofauti na ya Rais kulingana na nafasi yake?
Jee anadhani hata babu toka Kimanzichana au kinda wa daladala naye atapata picha ya Muhimbili kama yeye?

pengo alienda muhimbili kama mgonjwa au mtafiti? jibu ni alienda kama mgonjwa, sasa asione huduma aliyoipata ya ki V.I.P kutokana na umaarufu wake na ushawishi wake akadhani kila mtanzania anafanyiwa hivyo akasema inatosha, anajiharibia heshima yake sana
ahahahaha hatar sana bora alivyojisemea pengo wanatukana kichini chiniBahati nzuri haya kayasema Pengo angesema Sheikh yoyote JF ungechimbika kwa matusi...daah!!
Napata mashaka na mtumishi wa Mungu Pengo kujua kigezo alichotumia kutoa kauli hiyo.
Hivi anajua kuwa huduma aliyokuwa anapewa yeye pale haina tofauti na ya Rais kulingana na nafasi yake?
Jee anadhani hata babu toka Kimanzichana au kinda wa daladala naye atapata picha ya Muhimbili kama yeye?
Askofu Pengo Tafadhali usiwakebehi walala hoi we we ulilazwa VIP ward mpaka Rais akakutembelea Mara 2 sisi tunalazwa kajamba nani usitucheke kiongozi
Kweli mkuu... Wengine wanajadili kwa chuki... Hapa wanazungumzia wa level yake... Tusijfanye tunawajali sana maskini na huku tunajua pengo la walionacho lipo... Iwe mbowe, jk, mbunge na wengine tofaut ipo kutokana na level yao.Wazo msingi hapa ni kwamba viongozi wasikimbilie kutibiwa nje, bila kujali gharama, hospitali za hapa ndani zina uwezo wa kuwatibu kwa sasa.
imamuabasi wewe ni mwenyeji sehemu gani ukanda wa Pwani?umevurugwa ujui unaloandika
Kwa hiyo kwa akili yako huduma za Muhimbili zimefikia kiwango kinachotakiwa kwa hospitali ya rufaa ya nchi?Umwa na wewe moyo tukupeleke ukitoka useme huo utumbo.
umeambiwa taasisi ni kwa watu wote haibagui unaleta blah blah,ugua bas ukajionee huduma sio lazima upinge kila kizuri cha serikali