Eeh Askofu Gwajima pole kwa masaibu yaliyo kupata. Naamini Mungu yupo nawe na utapona maana kazi yake bado hujaimaliza na taifa linakuhitaji.
Mara utakapo pona tunahitaji tamko Kali sana zaidi ya hili LA sasa kwa woote waliotaka kudhuru afya yako na wote walionyuma ya mchezo huu mchafu. Usikae kimya kama Ulimboka na yule Mhariri
Mungu akulinde na akuponye uwanyooshe viongozi wanafiki. Vizazi na vizazi vitakumbuka mchango wako kwa taifa hili...
Hata asipotoa tamko, mtu yoyote mwenye akili timamu amejua episode hii niya kova. hii nchi imekuwa ya ajabu sana siku hizi, barabara tuwaogope wa bodaboda(boxer), sehemu za salama wao wamekuwa silent killer, loh!! siku nikiitwa polisi nawaomba wanihojie nje, kha!
...mahali tulipo paona kimbilio la usalama sasa si hivyo tena, unaenda kwa miguu yako na gari lako ukitokea nyumbani kwako unarudi umebebwa kwa gari LA ambulance na unapelekwa ICU badala ya nyumbani...lol...!!!??
Taifa Lipi? ?Eeh Askofu Gwajima pole kwa masaibu yaliyo kupata. Naamini Mungu yupo nawe na utapona maana kazi yake bado hujaimaliza na taifa linakuhitaji.
Mara utakapo pona tunahitaji tamko Kali sana zaidi ya hili LA sasa kwa woote waliotaka kudhuru afya yako na wote walionyuma ya mchezo huu mchafu. Usikae kimya kama Ulimboka na yule Mhariri
Mungu akulinde na akuponye uwanyooshe viongozi wanafiki. Vizazi na vizazi vitakumbuka mchango wako kwa taifa hili...
Taifa Lipi? ?
Hahahhhhhaaaaaa when u use only 10% of your brain
Hakuna kitu.... Tuliza Pressure
...bhahhaaaa ! taifa la Tz na dunia inamuhitaji sana, huwezi kujua maana unaishi Jana, nakusihi tuliza kipele mara baada ya siku chache kitakunwa tu....