Only crazy persons will spend their bundle to open unknown things.
Mchumi hawezi kuharibu gb 3.7 kufungua jambo ambalo hajui atakutana na nini ndani.
Samahani kwa maneno yangu, may be yamebeba lugha ngumu/chafu kwako.
Au sijui ni ukata umenifanya kuwaza hivyo.