Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
Askofu wa Kanisa la Tanzania Field Avangelism ,Edson Mwombeki(42) amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi mwenye miaka 16.
Mwanafunzi huyo alikwenda nyumbani kwa Askofu kujisomea pamoja na binti wa Mwombeki.
credt:Mwananchi.
Dunia kweli ina mambo
Mbona toka kitambo!!
Tunashukuru kwa habari hii.Lakini,kichwa cha habari kingekuwa "Askofu atuhumiwa/ashtakiwa kwa kubaka" ili kulinda maadili ya uandishi wa habari. Jinsi ilivyo,ni kama kesi imeshakwisha na mshtakiwa ametiwa hatiani na kuhukumiwa.
Hii IMANI NI MAJANGA TU.
Bora Serikali IPIGE MARUFUKU Mashetani hawa wasiendelee kubaka watoto
Hii IMANI NI MAJANGA TU.
Bora Serikali IPIGE MARUFUKU Mashetani hawa wasiendelee kubaka watoto
Hao ndio Mashetani waliotumwa KUMALIZA WATU.
Hivi VIONGOZI WA WAKRISTO wataacha lini KUBAKA?
Mbwa kabisa huu.
Hawa ni kunyonga tu.
Hii IMANI NI MAJANGA TU.
Bora Serikali IPIGE MARUFUKU Mashetani hawa wasiendelee kubaka watoto
Huyo ni MFUASI WA YESU WA MSALABANI.
We hushangai wale Makafiri wote hawamo humu kuja kuleta porojo zao!
Wameshaona mwenzao kabaka wao wanashangilia kimya kimya.
Mbwa kabisa Hawa wabakaji.