sambasha
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 264
- 248
Mwezi uliopita nilidrive hadi uganda,safari nilianza jioni kupitia namannga nikafika Kampala kesho yake saa nane mchana, kwakweli si kwamba hakuna askari njiani wapo ila niwakarimu kwa wageni wanauliza driving license na insuarance passport ukiwanavyo hivyo anakuruhsu unaenda na sii sehem zote utasimamishwa.ila sasa huku kwetu askari wanawasumbua sana wenzetu na speed limt wanakaa sehem hazina vbao vya 50, pia kisheria gari ya private speed mwisho ni 110 ila jamaa wanakupiga speed gun anakuambia speed mwisho ni 80 nawaandikia fine vibaya mnoo huu ni uonevu mimi sijafurahia kabisa