Nshakataa kutoa rushwa, washanikamata sana barabarani lakini hata shilingi haitoki juzijuzi walinikamata eneo flani karibu na KIA naelekea moshi ikala kwao eti mkubwa fanya basi hela ya maji si unaona jua lilivyokali! Majembe nao kariakoo wakanikamata huo mziki wangu walisambaa wote. Ukiwalegezea kweli lazima wale hela yako.