Hawa jamaa inaonyesha huwa wanasubiria mafuta na perfume wachukue yaani ni big deal kwao leo perfume yangu inakaribia kuishi walivyoishambulia kama mpira wa kona..
Sasa mkuu utaingiaje kwenye ndege na perfume mkuu..... ni sheria hiyo ya anga mkuu kote duniani cyo bongo tuu soma kabla ya kuingia ndani kunabandiko Hapo airport vitu gani haviruhusiwi......
pole bwana mimi niliadithiwa na mtu eti hata maji ya kunywa huendi nayo.. hata lotion nakwambia... nataka mtu wakunipa offer ya kupanda ndege nibebe maji nione kama nitarudishwa
Sasa mkuu utaingiaje kwenye denge na perfume mkuu..... ni sheria hiyo ya anga mkuu kote duniani cyo bongo tuu soma kabla ya kuingia ndani kunabandiko Hapo airport vitu gani haviruhusiwi......
pole bwana mimi niliadithiwa na mtu eti hata maji ya kunywa huendi nayo.. hata lotion nakwambia... nataka mtu wakunipa offer ya kupanda ndege nibebe maji nione kama nitarudishwa
pole bwana mimi niliadithiwa na mtu eti hata maji ya kunywa huendi nayo.. hata lotion nakwambia... nataka mtu wakunipa offer ya kupanda ndege nibebe maji nione kama nitarudishwa
perfumes inaruhusiwa ila iwe chini ya 100ml la sivyo iweke kwenye begi na iwe check in yaani mzigo unaokaa kwenye buti la ndege sio wa kuingia nao kwenye cabin

Ila hapo Mwanza hao watu ni shida. Walinikomalia siku moja kwenye cologne na lotion za ujazo unaoruhusiwa na International airlines, mama mmoja akazichukua; nikamwambia mama hizo ni za wanaume, labda ukaziuze!.