Habari zinasema kuwa,Ali Alosaimimwenye umri wa miaka 28 alipokea mafunzo ya hali ya juu ya ubaharia nchini Uingereza kwa miaka mitatu kabla ya kuondoka nchini na kwenda kujiunga na Daesh.
Gazeti la The Mail jana Jumapili lilichapisha habari za askari huyo wa baharini wa Uingereza mwenye asili ya Kuwait baada ya kupatikana nyaraka kumhusu katika shehena iliyokuwa na nyaraka za wanachama wa kundi hilo la kigaidi.
Admeri Lord West, mkuu wa zamani wa jeshi la majini la Uingereza amesema ana wasi wasi kuwa huenda kundi la Daesh linataka kuanzisha mbinu mpya ya hujuma zake. Amesema yumkini kundi hilo sasa linataka kuanzisha ugaidi wa baharini kwa kushambulia meli na feri, ndipo sasa limeanzisha kampeni za kuwashawishi askari wa baharini wa Uingereza wajiunge nalo.
Alosaimi anasemekana kupata mafunzo ya hali ya juu katika taaluma ya ubaharia na jeshi la majini katika Chuo cha South Tyneside eneo la Tyne nchini Uingereza kati ya mwaka 2011 na 2013.
UK navy officer joins ISIS: Defence experts warn of terror attacks on ships as highly skilled sailor turns from playboy into jihadi after watching videos of Assad's atrocities in Syria
Ali Alosaimi’s high-level skills and exhaustive knowledge of the nation’s shipping fleet represented a terrifying security threat after he fled to Syria
His personal details were found among a cache of IS documents
They reveal that before leaving for Syria, Alosaimi lived in South Shields
Uingereza muda si mrefu ataanza kujutia uamuzi wake wa kugeuka dampo la wageni na kuwapa haki sawa na waingereza wa asili. Naona vijamaa vinaitumia fursa kisawasawa na kurudisha utaalamu kwa waliowatuma, back to asili yao.