kiaratu38 Member Joined May 25, 2022 Posts 13 Reaction score 13 Jul 7, 2022 #1 Kuna wilaya ya Bahi askari wanakera sana wa usalama barabarani, hii inatokana na kusimamisha magari muda mrefu pasipo kujali muda wa mtu.
Kuna wilaya ya Bahi askari wanakera sana wa usalama barabarani, hii inatokana na kusimamisha magari muda mrefu pasipo kujali muda wa mtu.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Jul 7, 2022 #2 Raia mna dharau sana kwa hamtaki mkaguliwe au ?