Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,982 Oct 24, 2024 #62 Nilitegemea hili jambo.Hata kama ningekua mimi ningekimbia.Korea wanabana sana raia hata kwa watumishi wa umma ni tabu tupu.
Nilitegemea hili jambo.Hata kama ningekua mimi ningekimbia.Korea wanabana sana raia hata kwa watumishi wa umma ni tabu tupu.
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,607 Reaction score 59,703 Oct 24, 2024 #63 Kitombise said: hao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa. hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi. Click to expand... Wakidakwa hawaponi hata km walipotea bahati mbaya
Kitombise said: hao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa. hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi. Click to expand... Wakidakwa hawaponi hata km walipotea bahati mbaya
B-2 STEALTH BOMBER JF-Expert Member Joined Sep 15, 2024 Posts 4,640 Reaction score 6,417 Oct 25, 2024 #64 dudus said: Sidhani. Hao ni vidagaa sana hawana walijualo kuhusu siri za jeshi au utawala wa Kim. Click to expand... Watatoa mwanga kwa yanayoendelea
dudus said: Sidhani. Hao ni vidagaa sana hawana walijualo kuhusu siri za jeshi au utawala wa Kim. Click to expand... Watatoa mwanga kwa yanayoendelea
M Mdusi94 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2017 Posts 4,507 Reaction score 4,273 Oct 25, 2024 #65 Jumlisha said: Hawa wakipatikana adhabu yao ni moja tu Kunyongwa Click to expand... semaj la Urusi hiloo
Jumlisha said: Hawa wakipatikana adhabu yao ni moja tu Kunyongwa Click to expand... semaj la Urusi hiloo
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,361 Reaction score 4,106 Oct 25, 2024 #66 chances ya ulaya hiyoo.
Waka Waka JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 1,340 Reaction score 2,119 Oct 25, 2024 #67 Kuna madai!! All the best
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,509 Reaction score 45,122 Oct 25, 2024 #68 Kitombise said: hao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa. hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi. Click to expand... Nchi za kifashisti hizi, yaani hao wakidakwa wanakufa, tena wanakufa kwa mateso makali.
Kitombise said: hao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa. hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi. Click to expand... Nchi za kifashisti hizi, yaani hao wakidakwa wanakufa, tena wanakufa kwa mateso makali.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,509 Reaction score 45,122 Oct 25, 2024 #69 gTurn said: Intelligence ya kiduku atawapata tuu Click to expand... Hao tayari ni watoto wa NATO, Putin na huyo Punk (Rocket kid) hawana jeuri kumkamata hata mmoko. imeenda hiyo.
gTurn said: Intelligence ya kiduku atawapata tuu Click to expand... Hao tayari ni watoto wa NATO, Putin na huyo Punk (Rocket kid) hawana jeuri kumkamata hata mmoko. imeenda hiyo.
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,500 Reaction score 17,557 Oct 25, 2024 #70 Yoda said: Kukimbia North Korea ni sawa na kutoroka gerezani Click to expand... Vipi kuhusu familia zao walizoacha huko North Korea?! Kiduku ata deal nazo effectively
Yoda said: Kukimbia North Korea ni sawa na kutoroka gerezani Click to expand... Vipi kuhusu familia zao walizoacha huko North Korea?! Kiduku ata deal nazo effectively