Quod Nocet Saepe Docet
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,944
- 17,282
Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta
Putin's North Korea Plan Failing? Troops Reportedly Defecting From Positions On Ukraine's Border
Ukrainian officials released a video allegedly showing North Korean soldiers lining up to collect Russian military clothes and bags at an unknown location. However, the authenticity of the video couldn’t verified the footage independently., Europe, Times Nowwww.timesnownews.com
Warudi tena Jehanamu kwenda kufanya nini?Mkorea kaskazini yoyte akifanikiwa kutoka Korea huwa harudi,,hii ipo hadi Kwa mabalozi wao
They have been fled from the Hostage Camp so called 'Democratic' Republic of North Korea.'Hapo wanaona kama wametoka kifungoni huko North Korea
Wameishanyakuliwa na Biden kwa taarifa ya hivi punde (0.84% ni kweli)hao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa.
hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi.
Hapana. Amalizie .....Ili wajiunge nao dhidi ya Putin."... inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta...". Malizia maelezo vizuri; " ili wawauwe... ".
Akitoroka familia yake yote inakwenda jela na kazi ngumu na mateso, hata hao askari kama kweli wamefanya uasi ndugu zao kule watakiona cha mtema kuni.Mkorea kaskazini yoyte akifanikiwa kutoka Korea huwa harudi,,hii ipo hadi Kwa mabalozi wao
Nimekuwa nikijaribu kufanya rejea nione ni wapi hivi karibuni majeshi ya North Korea yalipigana.Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta
Putin's North Korea Plan Failing? Troops Reportedly Defecting From Positions On Ukraine's Border
Ukrainian officials released a video allegedly showing North Korean soldiers lining up to collect Russian military clothes and bags at an unknown location. However, the authenticity of the video couldn’t verified the footage independently., Europe, Times Nowwww.timesnownews.com
Na imekuwa ni "kosa lenye bahati" kwamba wametorokea eneo lenye usalama 100% kwao kwani wameingia mikononi mwa walinzi makini na waaminifu (Ukraine- dui wa Urussi).Kukimbia North Korea ni sawa na kutoroka gerezani
Sio wote wanajali ndugu zao mtu anaona potelea poteAkitoroka familia yake yote inakwenda jela na kazi ngumu na mateso, hata hao askari kama kweli wamefanya uasi ndugu zao kule watakiona cha mtema kuni.
Yule mwamba kiduku sio mtu hafai hata kwa dawa 🤣Akitoroka familia yake yote inakwenda jela na kazi ngumu na mateso, hata hao askari kama kweli wamefanya uasi ndugu zao kule watakiona cha mtema kuni.
Hakuna kitu, hao watakua Ukraine then US .Intelligence ya kiduku atawapata tuu
Hiyo ni kweli, sidhani kama hao Askari wana familia (mke na watoto)Akitoroka familia yake yote inakwenda jela na kazi ngumu na mateso, hata hao askari kama kweli wamefanya uasi ndugu zao kule watakiona cha mtema kuni.
Ndo shida ya kuwa askari, unaapa kuipigania nchi yako, anakuja mwanasiasa anaitwa raisi, anakwambia kapiganie na nchi ingine kwa maslahi ya nchi yako, bila kujali hivyo vita ni vya kijinga au la usipoenda wewe ni mhaini unanyongwa.hao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa.
hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi.
Kule North Korea ni jehannam hao washaibukia ughaibuni kunusuru maisha yao ata russia wapo askari tele hawakusikilia upumbav wa putin kutafuta kuulishwa bure wako ulaya huko wanapiga kuku kwa mrijaKuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta
Putin's North Korea Plan Failing? Troops Reportedly Defecting From Positions On Ukraine's Border
Ukrainian officials released a video allegedly showing North Korean soldiers lining up to collect Russian military clothes and bags at an unknown location. However, the authenticity of the video couldn’t verified the footage independently., Europe, Times Nowwww.timesnownews.com
utapatikana wewe mkuu, kutoka kule North Korea kuja huko urusi ilikuwa ni turufu kwa baadhi ya askari watiifu ili watimke zaoHawa wakipatikana adhabu yao ni moja tu
Kunyongwa
Naona ww ndo uliye toa order hahahautapatikana wewe mkuu, kutoka kule North Korea kuja huko urusi ilikuwa ni turufu kwa baadhi ya askari watiifu ili watimke zao
Kakwambia nani ata warusi kibao wametimkia poland na ulaya hukoSidhani. Hao ni vidagaa sana hawana walijualo kuhusu siri za jeshi au utawala wa Kim.
Kamanda ndio hataki kutoroka?Kwani hao hawajaenda na kamanda yeyote?
Kwani uliambiwa wana ndugu?Akitoroka familia yake yote inakwenda jela na kazi ngumu na mateso, hata hao askari kama kweli wamefanya uasi ndugu zao kule watakiona cha mtema kuni.