Asipopatikana milele nani alaumiwe?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,597
Reaction score
43,045
Ni swali fikirishi je asipopatikana milele ninani wa kulaumiwa?

1.Yeye mwenyewe

2.serikali

3.familia


Msiunganishe huu Uzi haujataja MTU mods.
 
Nimependa technique ya kukulozi industries, naona in njia moja wapo ya kushinikiza
 
Kila jambo huwa linapangwa na Mungu, na huwa linawezekana kwabuwezo wake.

Sisi binadamu huwa tunakuwa na sababu zetu pia kwenye jambo husika ambazo zinakuwa kwa namna moja au nyingine ndio chanzo cha jambo hilo.

Tukishauriana tunapata sababu za ama kumpata au la kwa kufuata ushauri tunaoelekezana.

Kwa hawa wanaokataa ushauri wa watu wengi huku wakijidai hawajadhindwa na watamleta, asipoonekana Daima.

Hao ndio watakuwa namba moja kuwalaumu.
 
Akipatikana huenda baada ya hapo akapunguza investment tz,asipopatikana doa kwa state,
 
[emoji57][emoji57][emoji57]Ilaumiwe serikali maana familia haina uwezo wa kumpata
 
Lawama kwa familia, hivi wanaiamini vipi policcm kwenye ishu nyeti kama hii wakijua fika kuwa huwa wanafeli. Wanashindwa vip kuhimiza wapate international private investigation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…