Inaitwa Retention fee. Kila mwisho wa mwaka inaongezeka Asilimia 6 ya mkopo uliopo kwa wakati huo. Mfano Kama kwa Sasa unadaiwa milion 6 then by December utakuwa umelipa na mkopo wako kubaki milioni 4 then itatafutwa Asilimia 6 ya milioni 4. Kama ikipatikana milion moja Basi itajumlishwa kwenye milioni 4 na hivyo zitakuwa milioni tano siyo nne Tena.