kwa vyovyote vile, ile kwa wema au kwa ubaya kwa majina ya ufake au ukweli cha msingi injili ya Kristo inahubiriwa. Mwenye kusikia na asikie na ajiongezeeee
Hapa ndo utacheka mpaka ukae chini. Hii naisoma hapa tu.haijawahi tokea duniani. Watawala wanawakimbia watumwa wanaamua kwenda kuwa wakimbizi milimani.πππ
Hapa ndo utacheka mpaka ukae chini. Hii naisoma hapa tu.haijawahi tokea duniani. Watawala wanawakimbia watumwa wanaamua kwenda kuwa wakimbizi milimani.
Wasafwa walikuwa na tabia moja kutopenda kuchangamana na makabila ya kigeni hvyo wanyaq walivokuwa wanashuka mbeya mjini basi wasafwa walikuwa wanaenda pembezoni wakitaka kukaa wao wenyewe
Hawawezi kunifanya lolote. Nilijaribu tu kueleza ukweli. Nasema wengi wana maringo, katili na sasa wameijaza Mbeya kwa makanisa ya 'kifarisayo'. Wanaongoza, nadhani, kwa kuzalisha wachungaji, wainjilisti, waimbaji wa muziki wa injili, manabii nk wa uongo, wababaishaji na matapeli wakubwa!
But truth be told, baadhi ya Wanyakyusa wana utu na upendo wa dhati kabisa. Hasa wanawake..... Wanaishi vizuri na watu be ofisini or mitaani.
Wasafwa walikuwa na tabia moja kutopenda kuchangamana na makabila ya kigeni hvyo wanyaq walivokuwa wanashuka mbeya mjini basi wasafwa walikuwa wanaenda pembezoni wakitaka kukaa wao wenyewe