Habari wakuu, napenda kujua historia na asili ya hii kofia, naona kama ni utamaduni ambao tumeurithi kutoka mataifa ya jirani, je asili yake ni wapi?View attachment 624163
Hiz kofia zina historia mbaya sana ambayo haiwezi kumvutia mtu. Hasa zikihusishwa na mauaji. Anyways wanajua vizur watatoa taarifa. I miss some concepts so nashindwa kueleza hapa. Ila on brief is that