Ashuka kwenye gari na hasira baada ya pikipiki kumgonga, alichokutana nacho kikamjaza imani

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,277
15,522
Aliskia kishindo cha kugongwa kisha akashuka akiwa na hasira baada ya kugundua pikipiki imemvaa kwa nyuma. Kucheki shavu la gari gari limebonyea ndio ikamtia hasira zaidi ila baada ya kuona aliemgonga ni mvuvi mmoja wa hali ya chini aliekua katoka kununua mchele kidogo kwa ajili ya familia yake na mchele wote umemwagika jamaa akona huruma sana.

Polisi hawakuchelewa eneo la tukio lakini mwenye gari akawaomba wasichukue report na badala yake akampatia yule mzee wa pikipiki pesa akanunue mchele mwingine kuwahishia familia nyumbani. Mzee mwenyepikipiki hakuamini akaishia kutoa tu machozi. Lesson learnt kwetu sote.
lifebuzz-0c01f4e52cc06645eeb0d9e39fa88c89-limit_2000.jpg


lifebuzz-a953f63be4efa8442f0ba87045f359cf-limit_2000.jpg

Hii imetokea kule ufilipino na huyu ndiye mwenye gari

lifebuzz-a6bc989db24d29a76dfa9083369a7b29-limit_2000.jpg


===================

Probably one of the simplest truths in life is also one of the hardest to accept. That is, no matter what you do to try and avoid it, sometimes, shit happens. It's out of your control, and it's best to try and take life's misfortunes with a grain of salt or two. And as this story proves, there's always someone who has it just a bit worse off than you do.

When this driver was hit by a motorcyclist, his first instinct was to react with anger. After all, getting rear-ended is incredibly frustrating, and it's almost always the other person's fault.

He jumped out of the car, prepared to place blame on the guy that did it. That's when he saw something he wasn't expecting, and it changed his entire outlook on the situation. Find out what it was -- and what he did instead of choosing anger -- in the story below.Sayd Omar Morales was driving his car in the Philippines when a motorist slammed into the back of his car.

Naturally, Morales got out to investigate the damage.
Sayd Omar Morales was driving his car in the Philippines when a motorist slammed into the back of his car.

When he saw what his car looked like, the father of two was understandably angry.It was a major dent, and most of us would be pissed off to be on the receiving end of this kind of misfortune.When he saw what his car looked like, the father of two was understandably angry.But then, Morales realized something that he hadn't at first.

He saw that the motorcyclist who hit him was bringing rice to his family. He realized that the guy was a poor fisherman, depending on this rice to feed his family.But then, Morales realized something that he hadn't at first.So when the police arrived, Morales did something unexpected.

Instead of filing a report, he gave the guy that hit him money to replace the rice, bringing the man to tears. This story is a powerful lesson to us all about what really matters.So when the police arrived, Morales did something unexpected.


SOURCE: LIFE BUZ

 
siamini bongo watu wana roho mbaya kuliko shetani
Hahahaaaa....umenikumbusha niliona ITV jamaa wa Alteza Dar alikwanguliwa na bodaboda akaanza kumkimbiza amgonge kisha ampige risasi akaishia kuingia mtaroni gari nyang'anyang'a halafu wananchi wakamchenjia wakataka kumuua bahati nzuri waungwana wakawahi
 
Hahahaaaa....umenikumbusha niliona ITV jamaa wa Alteza Dar alikwanguliwa na bodaboda akaanza kumkimbiza amgonge kisha ampige risasi akaishia kuingia mtaroni gari nyang'anyang'a halafu wananchi wakamchenjia wakataka kumuua bahati nzuri waungwana wakawahi
ahahaaa mmbongo anaenda mahakamani kwa kesi ya kuku
 
Back
Top Bottom