Ashki inapokutuma pabaya

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,267
Reaction score
12,736
Nakumbuka ilikuwa ijumaa moja baada ya kupokea mshahara( ilikuwa nchini Burundi) Ndugu yangu akaniambia brother leo nahitaji nikutoe out, ukanywe ukatafute mwanamke mkaali ufanye yako,

Dah kwa kuwa yeye alikuwa ndiye rafiki yangu wa karibu sana nilimweleza tu kwamba mi mambo ya wanawake wala asijisumbue sikuwa katika mood hizo ila kama atafanya mpango nikapata jani kazaa itakuwa fresh,

Kweli tupitia sehem moja ni ufukweni mwa ziwa Tanganyika ( Sagavodo) nikapiga misumali yangu ya kutosha kisha nikamwambia sasa hapa fresh...

Jamaa akaniambia sasa kaka mkubwa twende maeneo ya kanyosha nikatafute manzi wa kupiga vyapo viwili ndio akili yake itakaa sawa nikamwambia poa twende..

Kufika pale tuliyokutaba nayo nikaona bora ya kuvuta ndumu kuliko hatari alizokuwa anafanya huyu jamaa, tumekuta watoa huduma woote wako vyumbani na wateja jamaa akaniambia mwanangu hapa wote wako busy sa tunafanyaje nikamwambia achana na hizo mambo jombaa twende tukale tungi,

Jamaa akasema hapana twende kamenge kutoka kanyosha mpaka kamenge pana umbali si kitoto nikamuuliza kufanya nini akasema kuna ishu anaenda kuchukua nikaona poa ngoja nimsindikize mwana,

Dah hakukuwa na ishu wala nini kufika kule tukaanza kupita kichochoro baada ya kichochoro mtaa baada ya mtaa uswahilini balaa silaha nje nje, umbali kama kutokakagera to m/nyamala vichochoro tu,

Tukafika tunapoenda niliyoyakuta huko sasa jamaa akauliza maria yupo akajibu jamaa mmoja ambaye kwanza ni askari, pili ni pusha tatu anauza primus na amster hapohapo alafu kwa pembeni kuna mkwasa...

Nikakaribishwa benchi nikapewa na phantom moja pale..kulikuwa na jamaa wanne wamekalia benchi kama wapo foleni hivi kisha ghafla mlango ukafunguliwa akatoka jamaa chumbani zipu hajafunga alivyotoka akasema fresh kisha huyoo akasepa, akatoka mwanamke mmoja kavaa khanga moja na beseni sikujua ndani lina nini ila alizunguka nyumba aka wanga vitu alipofika ktk foleni akasema mwingine aingie akaingia jamaa mwingine huku mshikaji wangu akijisogeza ili na yeye zamu yake ifike zikapita kama dakika ishirini nikasikia mwingine apite,

Roho iliniuma sana nikajua sasa nampoteza mwana, nikaenda kumtoa kwa nguvu, bado kidogo tupigane asema pesa ni yake nisimpangie cha kufanya, sasa nikamuuliza kapoti unayo?

(condom) akasema kapoti hana ila atatumia Rambo ( hii mifuko ya 50) nilijikuta tu inanichomoka bomba moja ya maana ikatua usoni kwa mshikaji, jamaa akaenda chini...

Huwezi amini wakati anainuka ndio zamu yake kuingia jamaa kadhamilia huyoo kaachana na mimi kazama ndani....Urafiki na mshikaji uliishia pale..
 
humo ndani walikuwa wanahakikiwa nini
 
Mwaka wa 6 sasa sijavuta sasa sijui nimeacha au nimepumzika?
 
mkuu jifunze kuandika..... ingekuwa ni essay hata kama umeandika point za maana unakula 5/20 😡😡😡


Duh mbili? We jamaa unadhambi kweli sasa 2/20? Kweli? Unajua kilichonofanya nitupie hii huyo mshikaji nimemuona ktk mtandao mmoja wa kijamii ndio nimekumbuka alivyokuwa akijilipua...ila next time usitoe 2
 
Duh mbili? We jamaa unadhambi kweli sasa 2/20? Kweli? Unajua kilichonofanya nitupie hii huyo mshikaji nimemuona ktk mtandao mmoja wa kijamii ndio nimekumbuka alivyokuwa akijilipua...ila next time usitoe 2
nimekupa 05 mkuu.... maana story yako imeniwia vigumu kuisoma
 
Yan uyo rafik yako alkuwa anatka kukupoteza kabisa, bora ulkuwa unajielewa mamb mengine n ya kukwepa ili kuepusha shari!!!
 
Naona b

ado anatumia, maana hata unadishi ni wa kibangi bangi. nimepata shida sana






Msifananishe bangi na display za simu zenu...kwa device niliyotumia mimi mtu aniambia haelewi naweza kumuangalia yeye ndo Ana shida ktk macho yake
 
Sasa kama inakuwia vigumu kusoma si unapita tu, au ndo matundu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…