Ashakum si matusi!


Namsubiri " mshua " wako amaliziwe Mimi niingie.
 
Nimeishi bwenini/Hostel zaidi ya miaka 9, sijawahi ona nyeti za ninaoishi nao.

Hata home kwenye extended family sijawahi ona ,ingawa tunakuwa wengi kwenye single room

Kwani nimesema kuwa ni Hostel ya Shule yako? Je umeshapitia Hostels za Shule zingine? Jifunze kujenga HOJA usije kututia mashaka ya UFAHAMU wako na Kidato chako.
 
Hiyo ni kweli hasa kwa sisi tuliopitia Jeshi, Shule za Bweni na tuliowahi kuwa kwenye mijumuiko ya wanaume weeeeeeeeengi kwa muda mrefu mambo kama kuoga wote kwa pamoja ni jambo la kawaida,kujisaidi haja ndogo kundi kuubwa kwa wakati mmoja ni jambo la kawaida japo wapo wenye silka za kike za kujitenga/kujificha kwa sababu zao na mara nyingi ni "magovi" au "vibamia". Wanawake ni wachache sana wenye kufanya hivo, lakini wao tofauti yao na sisi ni kwenye kuitana unaweza kuwakuta wanaita kama, my dear,my honey, my sweat, my love na mengine mengi, lakini kwa wanaume hii huwezi kuikuta.
 

Afadhali nawe pia umeleta hapa huu " ushuhuda " wako wa ukweli kabisa kwani Watu walidhani nimekurupuka nayo ila nakuomba tu vumilia kwani sasa hivi na Wewe utaambiwa ni " Bwabwa a.k.a Chakula " kama nilivyoambiwa Mimi na POPOMA mmoja hivi ambaye hata hivyo tayari nimeashaanza kumjaza katika " frame " na ameanza kujaa " kimtindo ".
 
Labda nkurekebishe kidogo GENTAMYCINE. Nafijiri ulikuwa unamaanisha hii tabia ya sisi wanaume kuweza kubadilisha nguo au kuvaa nguo mbele ya wanaume wenzetu bila haya na tunaona ni jambo la kawaida tofauti na wa kina dadaz ambao wao ni ngumu sana kuvaa au kuonekana maungo yao na mwanamke mwingine.
 
same applies to wasichana.. pindi nasoma o'level kilikuwa na utaratibu wa viongoz wa kike kwenda kukagua usafi wa mabweni ya wavulana and vise versa. ( pamoja na utandikaji wa vitanda).
so to cut the story short..na wenyewe huwa wanaranda wakiwa na pichu tu.. eneo la "cleavage" kushuka chini unalikuta tupu
 
Hayo mi si mageni kwangu kwani nilishaambiwa matusi makubwa zaidi ya hayo nilipokuwa jela, sasa huku uraiani nikiambiwa vijimatusi kama hivo uwa naona kama unaniamkia tu.
 

Yako ni MADA nyingine na nashangaa kwanini hadi sasa hivi umechelewa kuianzishia UZI. Sidhani kama UZI wangu unashabihiana kwa namna yoyote ile na uliyoyaandika. Hata hivyo akhsante kwa kuja!
 
Mbona " Mshua " wako hamalizi tu Mimi niingie?
kama mshua wangu(kama unavyomuita kidigitali)ndio kakufundisha hako kamchezo nyamaza maana kashatangulia mbele ya haki,kwa hyo hyo unayemsubiria labda umefananisha,ila dah mdogo wangu hyo tabia ya kumvulia nguo mwanaume mwenzako ukainama akaku**** inatia kinyaaa maana inahitaji muhanga wa hali ya juu,and then haina faida sasa bora uache au kama umeshindwa tafuta nchi ukaishi hata kenya maana huko ndio mnaishi bila vikwazo ila anyway leo umejiongezea sana wateja.
 

Nafurahi kuona kuna Watu sasa " mnafunguka " juu ya hili na KUWAUMBUA kinoma noma wale waliodhani kuwa GENTAMYCINE huwa NAKURUPUKA tu na THREADS zangu humu JF. Hakika Wazungu hawakukosea kusema " NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK / WRITE / PUBLISH ".
 

Hata huko alipo sasa " Mchwa " wanamalizana nae tu " Kimtindo ".
 
Hayo mi si mageni kwangu kwani nilishaambiwa matusi makubwa zaidi ya hayo nilipokuwa jela, sasa huku uraiani nikiambiwa vijimatusi kama hivo uwa naona kama unaniamkia tu.

Shikamoo Mkuu!
 
Mzee wa chabo makubwa, inaelekea wewe Ni bingwa wa kujichua!
 
mhmhmhmh mbona wanawake hadi wananyoana khaaaa utafiti wako ni waeneo moja
 
we ni mwanaume, umejuaje maisha ya hostel / vyumbani mwa wadada, hiyo research ukajua maisha ya hostel na vyumbani kwa wadada umeyajuaje, hapo napata mashaka kidogo kabla sijafikiria kukujibu swali lako.. hebu jitetee hapo kwanza , na kifupi mi binafsi sina jibu la swali lako kabisa maana mi mwanaume maisha ya hostel tayajua wapi, katika titlle yako ungesema wanawake nipeni majibu na ndani ya maelezi ndo ungesema maisha ya hostel ya wanaume yako hivi na je nyie ya wanawake kwann yapo hivi na hivi ila kuomba majibu in general vidume unatuonea sana tena sana mkuu
 
i
guess u are wrong.

wanaume wengi wanajisitirii zsidi xa wanawake.
example umepana ya hostel ni rare case.
ila wanaume wanaficha viungo zaidi xa wanawake
 
mr wala usishangae ukiwemo humu mjengon ndio sbb ikaitwa jamii forum ni sawa na huko kitaan kwenu. Watu wanaopatikana humu ni wale waliopo mtaan. Kuna wezi, wavuta bangi, wapiga viroba, kuna wastaraab weny kujiheshim na kuheshim wengine, kuna wapole, wakorofi, n.k kwahiyo usishangae na kuwa mweny hasira sbb wamekujibu vibaya. Kuuliza swali si ujinga hata mm nimeipenda sana thread yako. Mm mweny kipind nasoma chuo, niliyaona hayo ila nikapotezea sikutaka kufatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…