Baba_Enock JF-Expert Member Aug 21, 2008 7,076 2,445 Oct 2, 2009 #21 Masanilo said: Udhaifu wa lugha yetu ya Kiswahili....Masanilo alionekana amepakatia laptop yake kwenye mapaja....sidhani kama maana yake nailawiti! ..... Click to expand... Neno kupakata linatumika kwa "viumbe hai"! huwezi kupakata Laptop! Kwa usahihi anayepakatwa ni kiumbe hai kisicho na uwezo wa kukaa chenyewe wakati fulani - e.g unampakata mtoto umlishe. Kwahiyo kuandika kuwa Balile "amepakatwa" na "mafisadi" ni TUSI
Masanilo said: Udhaifu wa lugha yetu ya Kiswahili....Masanilo alionekana amepakatia laptop yake kwenye mapaja....sidhani kama maana yake nailawiti! ..... Click to expand... Neno kupakata linatumika kwa "viumbe hai"! huwezi kupakata Laptop! Kwa usahihi anayepakatwa ni kiumbe hai kisicho na uwezo wa kukaa chenyewe wakati fulani - e.g unampakata mtoto umlishe. Kwahiyo kuandika kuwa Balile "amepakatwa" na "mafisadi" ni TUSI