ASHA BARAKA KAA CHONJO....... TWANGA is nearly R.I.P

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,502
12,827
Wanajamvi wenzangu habari zenyuuuu!Leo napenda kupitia uzi huu kumpasha dada yangu IRON LADY, NIMESIKITISHWA SANA NA MWENENDO WA TWANGA. mimi ni mdau mkubwa sana wa muziki wa dansi haswaa bendi ya wabongo wenzetu ya twanga! baada ya mizunguko yangu wkendi hii Ijumaa tarehe 10 / 2 niliwasaka twanga nikawapata ndani ya RUFITA NIGHT CLUB NA KATI YA SEGEREA. ASHA NILICHOKIONA SIO KIZURI...... DAH NYIMBO MBILI TU, MTU PESA NA MWANA DSM NDIZO ZINANYANYUA WATU VITINI...USAFI BINAFSI WA WANAMUZIKI NI OVYO... VILE VIFULANA VYEUPE VYA WANENGUAJI WA KIUME VICHAFUUUU VYA BEI CHEEEE!!UGOMVI JUKWAANI HAKUNA MPANGILIO MZURI YAANI HAKUNA KIONGOZI ANAYEWAMASTA KILA MTU MBISHI... NILISHUHUDIA KWA MACHO YANGU SALEHE KUPAZA AKIMTAKA MPIGA GITA KUJA JUKWAANI KUPIGA GITA SAMBAMBA NA WENZAKE AKAMGOMEA WAKATUPIANA MANENO THEN AKAENDA KUSHTAKI KWA LWIZA NAE AKAMPTEZEA KUPAZA.... NILIUMIA SANA... YULE MPIGA GITA AKAWA HAPIGI GITA WAKATI KUPAZA ANAPOFIKIA KUIMBA HASA ULE WIMBO WA MWANAMKE MDANGANYIFU!!!!ULIMBUKENI WA SIMU JUKWAANI BAADHI YA WASANII WALIKUA KITUKO ZAIDI KWA KUFANYA VITU VIWILI KWA WAKATI HUKU ANAIMBA HUKU ANACHATI NA SIMU.... MNOGAAAA.... HII KUTU SIYO JAMANI.BIAAAA MAJUKWAAAANI....... ULEVI NOUMAAAAAHAKUNA REPA WA KUTISHAAA.... MRUDISHE FERGUSON KWA GHARAMA YOYOTE MI NAKWAMBIA YULE NI NOMA ANATHAMANI KUBWA KULIKO WANAMUZIKI WA KAWAIDA WA3 ULIONAO PALE. DOGO RAMA + WA BSS = FERGUSON. ACHA UBAHIRI MAMA. SISI BADO TUNAITAKA TWANGA.ACHANA NA WANAMUZIKI WA BEI CHEE TUMIA HELA UPATE HELA ... UKITAKA KULA SHARTI ULIWE DADA YANGU....NINAIPENDA SANA TWANGA.
 
Usemayo ni kweli..

Mimi nilihudhuria kule ukumbi fulani maeneo ya Yombo hivi, kama unapitia Jet hivi..

Wako disorganized,na baadhi ya wanamuziki hawaji kwenye onesho,ama baadhi ya maonesho.....hata hivyo marekebisho madogo yanatakiwa,kwani la Twanga bado kubwa..
 
Usemayo ni kweli..Mimi nilihudhuria kule ukumbi fulani maeneo ya Yombo hivi, kama unapitia Jet hivi..Wako disorganized,na baadhi ya wanamuziki hawaji kwenye onesho,ama baadhi ya maonesho.....hata hivyo marekebisho madogo yanatakiwa,kwani la Twanga bado kubwa..
kaka afadhali na wewe umeliona hilo, twanga bado inalipa bado... lkn kuna ufa asipoziba ufa atajenga ukuta!
 
Haijawahi kusifiwa chumvi atasifiwa Asha?
suala siyo kusifia mtu au kitu! that is a business kaka nimeona kitu sicho naweka wazi ili aweke mambo sawa ili wadau waendelee kula bata na Twanga....au wewe unataka tusiyaseme hayo ili twanga ife?
 
Back
Top Bottom