Big jay Member Joined Mar 14, 2013 Posts 96 Reaction score 33 Jun 4, 2013 #1 Heshima zenu wakuu,, nina nokia asha kila niki download file sizioni sijajua zinakwenda sehemu gani msaada tafadhali kwa mlio na uzoefu na nokia Natanguliza shukrani kwanza.
Heshima zenu wakuu,, nina nokia asha kila niki download file sizioni sijajua zinakwenda sehemu gani msaada tafadhali kwa mlio na uzoefu na nokia Natanguliza shukrani kwanza.
I Ismailsimba Member Joined May 10, 2012 Posts 88 Reaction score 12 Jun 4, 2013 #2 file za aina gani, na una-download kupitia browser gani?
Big jay Member Joined Mar 14, 2013 Posts 96 Reaction score 33 Jun 5, 2013 Thread starter #3 Natumia Opera min mkuu