PreGE2025 Asemavyo Mnyika Kuhusu Uchaguzi Mkuu Ujao: Tunao Wagombea, Ajenda, Mtandao mpana, na Rasilimali za Kutosha. Tunakosa Mfumo wa Uchaguzi Rafiki kwa Wote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Doctor Mama Amon

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
2,311
Reaction score
3,490

View: https://youtu.be/eUJUVzmpAIg
Katibu Mkuu Chadema, John Mnyika

Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amesema kuwa chama cha Chadema kitaendelea na mpango wake wa kuzuia uchaguzi kwa sababu hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika kwenye mifumo ya uchaguzi ili kuifanya iwe rafiki kwa wadau wote.

Mnyika amesema haya kufutia kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa 31 Machi 2025, kuwa kuna mabadiliko makubwa yamefanyika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.

Mnyika, aliyasema hayo wakati akiwahutubia watia nia katika nafasi za urais, ubunge na udiwani, waliokusanyika makao makuu ya Chadema Mikocheni , Dar es Salaam.

Aliwambia watia nia kwamba: Chadema tunao Wagombea, Ajenda, Mtandao wa makampena, Rasilimali, Wapiga Kura Makini, Isipokuwa Mfumo wa Uchaguzi Ulio Rafiki wa Wote.

Hivyo, Mnyika akawataka watia nia wote waungane pamoja ili kupigania fumo wa Uchaguzi ulio Rafiki kwa wadau wote, kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wowote ujao.

Akifafanua kauli yake, Mnyika alisema kwamba, ili tuweze kushinda uchaguzi wowote tunahitaji mambo makuu sita.

Mosi, anatakiwa mgombea anayekubalika na anayeweza kunadi sera za chama;

Pili, inatakiwa ajenda inayogusa maisha ya wapiga kura, ikiwa imeandikwa kwenye ilani ya chama;

Tatu, unapaswa kwepo mtandao mpana wa makampen wanaotokana na ogananaizesheni ya chama kilichomcdhamini mgombea;

Nne, zinahitajika rasilimali zinazojumuisha vitu na fedha kwa ajili ya kuwafikia wapiga kura popote watakapokuwa,

Tano, lazima tuwe na wapiga Kura makini wenye kuelewa dhana kwamba kupiga kura ni mkakati wa kutatua matatizo ya kijamii kwa kufananisha na kutofautisha ilani na wagombea wa vyama tofauti; na

Sita, na muhimu kuliko yote, ni mfumo wa Uchaguzi ulio Rafiki kwa wadau wote, kwa maana ya uwanja tambarare kwa ajili ya mechi ya kisiasa inayojumuisha ugawaji wa majimbo, uandikishaji wa wapiga kura, uendeshaji wa kampeni, upigaji wa kura na utangazwaji wa matokeo.

Kwa mujibu wa Mnyika, tofauti na kauli ya Rais Samia iliyotolewa juzi wakati wa sikukuu ya Idd, mabadiiko yanayokidhi viwango hivi bado hayajfanyika.

Aidha, mkutano huo ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti Joh Heche, na Viongozi wengine wa kitaifa.

Watia nia walikubaliana na hoja zote na kusaini petisheni ya kuunga mkono mpango wa "no refrom no election," yaani "hakuna uchaguzi kabla ya mabadiliko."

View attachment 3292981

BAADHI YA PICHA ZA WATIA NIA WALIOHUDHURIA
1743758936550.png

1743758977080.png

1743758998272.png

1743759013592.png

1743759030479.png

1743759048234.png

1743759064857.png

1743759083903.png

1743759101242.png

1743759118423.png

1743759133864.png

1743759148866.png

1743759165490.png

1743759183328.png

1743759198492.png

1743759215580.png

1743759258480.png

1743759277748.png

1743759291012.png

1743759306504.png

1743759321690.png

1743759404009.png
 
Attachments

  • 1743759336031.png
    1743759336031.png
    3.8 MB · Views: 16
Dikteta uchwara bado kalala muda huu kwa ulevi wa jana na mbilinge za kimada akiamka anakuja na maamuzi mengine akipingwa ana singizia kamati kuu!
 
View: https://youtu.be/eUJUVzmpAIg
Katibu Mkuu Chadema, John Mnyika

Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amesema kuwa chama cha Chadema kitaendelea na mpango wake wa kuzuia uchaguzi kwa sababu hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika kwenye mifumo ya uchaguzi ili kuifanya iwe rafiki kwa wadau wote.

Mnyika amesema haya kufutia kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa 31 Machi 2025, kuwa kuna mabadiliko makubwa yamefanyika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.

Mnyika, aliyasema hayo wakati akiwahutubia watia nia katika nafasi za urais, ubunge na udiwani, waliokusanyika makao makuu ya Chadema Mikocheni , Dar es Salaam.

Aliwambia watia nia kwamba: Chadema tunao Wagombea, Ajenda, Mtandao wa makampena, Rasilimali, Wapiga Kura Makini, Isipokuwa Mfumo wa Uchaguzi Ulio Rafiki wa Wote.

Hivyo, Mnyika akawataka watia nia wote waungane pamoja ili kupigania fumo wa Uchaguzi ulio Rafiki kwa wadau wote, kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wowote ujao.

Akifafanua kauli yake, Mnyika alisema kwamba, ili tuweze kushinda uchaguzi wowote tunahitaji mambo makuu sita.

Mosi, anatakiwa mgombea anayekubalika na anayeweza kunadi sera za chama;

Pili, inatakiwa ajenda inayogusa maisha ya wapiga kura, ikiwa imeandikwa kwenye ilani ya chama;

Tatu, unapaswa kwepo mtandao mpana wa makampen wanaotokana na ogananaizesheni ya chama kilichomcdhamini mgombea;

Nne, zinahitajika rasilimali zinazojumuisha vitu na fedha kwa ajili ya kuwafikia wapiga kura popote watakapokuwa,

Tano, lazima tuwe na wapiga Kura makini wenye kuelewa dhana kwamba kupiga kura ni mkakati wa kutatua matatizo ya kijamii kwa kufananisha na kutofautisha ilani na wagombea wa vyama tofauti; na

Sita, na muhimu kuliko yote, ni mfumo wa Uchaguzi ulio Rafiki kwa wote, kwa maana ya uwanja tambarare kwa ajili ya mechi ya kisiasa inayojumuisha ugawaji wa majimbo, uandikishaji wa wapiga kura, uendeshaji wa kampeni, upigaji wa kura na utangazwaji wa matokeo.

Kwa mujibu wa Mnyika, tofauti na kauli ya Rais Samia iliyotolewa juzi wakati wa sikukuu ya Idd, mabadiiko yanayokidhi viwango hivi bado hayajfanyika.

Aidha, mkutano huo ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti Joh Heche, na Viongozi wengine wa kitaifa.

Watia nia walikubaliana na hoja zote na kusaini petisheni ya kuunga mkono mpango wa "no refrom no election," yaani "hakuna uchaguzi kabla ya mabadiliko."

View attachment 3292972

CHADEMA NI CHAMA CHA KUPIGA NA KUJERUHI WANAWAKE
 
View: https://youtu.be/eUJUVzmpAIg
Katibu Mkuu Chadema, John Mnyika

Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amesema kuwa chama cha Chadema kitaendelea na mpango wake wa kuzuia uchaguzi kwa sababu hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika kwenye mifumo ya uchaguzi ili kuifanya iwe rafiki kwa wadau wote.

Mnyika amesema haya kufutia kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa 31 Machi 2025, kuwa kuna mabadiliko makubwa yamefanyika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.

Mnyika, aliyasema hayo wakati akiwahutubia watia nia katika nafasi za urais, ubunge na udiwani, waliokusanyika makao makuu ya Chadema Mikocheni , Dar es Salaam.

Aliwambia watia nia kwamba: Chadema tunao Wagombea, Ajenda, Mtandao wa makampena, Rasilimali, Wapiga Kura Makini, Isipokuwa Mfumo wa Uchaguzi Ulio Rafiki wa Wote.

Hivyo, Mnyika akawataka watia nia wote waungane pamoja ili kupigania fumo wa Uchaguzi ulio Rafiki kwa wadau wote, kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wowote ujao.

Akifafanua kauli yake, Mnyika alisema kwamba, ili tuweze kushinda uchaguzi wowote tunahitaji mambo makuu sita.

Mosi, anatakiwa mgombea anayekubalika na anayeweza kunadi sera za chama;

Pili, inatakiwa ajenda inayogusa maisha ya wapiga kura, ikiwa imeandikwa kwenye ilani ya chama;

Tatu, unapaswa kwepo mtandao mpana wa makampen wanaotokana na ogananaizesheni ya chama kilichomcdhamini mgombea;

Nne, zinahitajika rasilimali zinazojumuisha vitu na fedha kwa ajili ya kuwafikia wapiga kura popote watakapokuwa,

Tano, lazima tuwe na wapiga Kura makini wenye kuelewa dhana kwamba kupiga kura ni mkakati wa kutatua matatizo ya kijamii kwa kufananisha na kutofautisha ilani na wagombea wa vyama tofauti; na

Na sita, na muhimu kuliko yote, ni mfumo wa Uchaguzi ulio Rafiki kwa wote, kwa maana ya uwanja tambarare kwa ajili ya mechi ya kisiasa inayojumuisha ugawaji wa majimbo, uandikishaji wa wapiga kura, uendeshaji wa kampeni, upigaji wa kura na utangazwaji wa matokeo.

Kwa mujibu wa Mnyika, tofauti na kauli ya Rais Samia iliyotolewa juzi wakati wa sikukuu ya Idd, mabadiiko yanayokidhi viwango hivi bado hayajfanyika.

Aidha, mkutano huo ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti Joh Heche, na Viongozi wengine wa kitaifa.

Watia nia walikubaliana na hoja zote na kusaini petisheni ya kuunga mkono mpango wa "no refrom no election," yaani "hakuna uchaguzi kabla ya mabadiliko."

View attachment 3292972

Mheshimiwa katibu mkuu nashauri Cdm iingie kwenye uchaguzi mkuu hata Kama hamna Reform kwa mujibu wa katiba ya nchi

1.Humuwezi kuzuia uchaguzi ulio kinyume na katiba huko ni kutaka kuonyesha uasi, kitendo ambacho kitahatarisha na kukiingiza kwenye matatizo yasio ya lazima,
Na pengine wapinzani wenu wanaweza pia kutumia kete hiyo kuifuta Cdm

2.Bunge la Ccm halina Nia wala mpango wa kutunga Sheria yoyote ya kuzuia uchaguzi mwaka huu , hivyo bado kisheria na kikatiba hamna mamamlaka ya kuzuia uchaguzi

3. Msitegemee Sana ndugu zangu watanzania kwenye Ishu ya maandamano Nyie wenyewe mna ushahidi wa kutosha
Tukianza na Mh mkiti Lisu akiwa mgombea baada ya matokea ya uchaguzi aliita maandamano nani alijitokeza
Pili Mkiti Mbowe alifungwa gerezani zaidi ya mwaka nani aliandamana kupinga huo uonevu , Kama sio maamuzi ya Mh Mama Samia pengine angakuwa huko
Tatu maandamano aliyoitisha mkiti Mbowe , Kuna mtanzania aliyeandana zaidi ya Binti yake ??

5. Rudini mezani mjadili mkubali kuingia mazungumzo na mkuu wa nchi , maana bado katiba tulioyonayo inampa mamlaka makubwa ,
Atawapa reform Chache muingie nazo kwenye Uchaguzi mwaka huu then mjipange upya baada uchaguzi

6 .Mheshimiwa katibu msaidie Mkiti Lisu Kuna maeneo huyuko vizuri kwenye maamuzi, ni mzuri Kusimamia mikakati lakini sio mzuri kupanga mikakati
 
WaTanzania mnapenda sana vitu vya kunyenyeka hadi misingi mzizowekeana. Uchaguzi uendelee wao chadema watawashawishi wananchi watakaoelewa hawatashiriki kwenye zoezi la upigaji kura.
Kwani lazima chadema washiri uchaguzi? Au unapenda watu wanavyouawawa kisa uchaguzi?
 
View: https://youtu.be/eUJUVzmpAIg
Katibu Mkuu Chadema, John Mnyika

Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amesema kuwa chama cha Chadema kitaendelea na mpango wake wa kuzuia uchaguzi kwa sababu hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika kwenye mifumo ya uchaguzi ili kuifanya iwe rafiki kwa wadau wote.

Mnyika amesema haya kufutia kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa 31 Machi 2025, kuwa kuna mabadiliko makubwa yamefanyika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.

Mnyika, aliyasema hayo wakati akiwahutubia watia nia katika nafasi za urais, ubunge na udiwani, waliokusanyika makao makuu ya Chadema Mikocheni , Dar es Salaam.

Aliwambia watia nia kwamba: Chadema tunao Wagombea, Ajenda, Mtandao wa makampena, Rasilimali, Wapiga Kura Makini, Isipokuwa Mfumo wa Uchaguzi Ulio Rafiki wa Wote.

Hivyo, Mnyika akawataka watia nia wote waungane pamoja ili kupigania fumo wa Uchaguzi ulio Rafiki kwa wadau wote, kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wowote ujao.

Akifafanua kauli yake, Mnyika alisema kwamba, ili tuweze kushinda uchaguzi wowote tunahitaji mambo makuu sita.

Mosi, anatakiwa mgombea anayekubalika na anayeweza kunadi sera za chama;

Pili, inatakiwa ajenda inayogusa maisha ya wapiga kura, ikiwa imeandikwa kwenye ilani ya chama;

Tatu, unapaswa kwepo mtandao mpana wa makampen wanaotokana na ogananaizesheni ya chama kilichomcdhamini mgombea;

Nne, zinahitajika rasilimali zinazojumuisha vitu na fedha kwa ajili ya kuwafikia wapiga kura popote watakapokuwa,

Tano, lazima tuwe na wapiga Kura makini wenye kuelewa dhana kwamba kupiga kura ni mkakati wa kutatua matatizo ya kijamii kwa kufananisha na kutofautisha ilani na wagombea wa vyama tofauti; na

Sita, na muhimu kuliko yote, ni mfumo wa Uchaguzi ulio Rafiki kwa wadau wote, kwa maana ya uwanja tambarare kwa ajili ya mechi ya kisiasa inayojumuisha ugawaji wa majimbo, uandikishaji wa wapiga kura, uendeshaji wa kampeni, upigaji wa kura na utangazwaji wa matokeo.

Kwa mujibu wa Mnyika, tofauti na kauli ya Rais Samia iliyotolewa juzi wakati wa sikukuu ya Idd, mabadiiko yanayokidhi viwango hivi bado hayajfanyika.

Aidha, mkutano huo ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti Joh Heche, na Viongozi wengine wa kitaifa.

Watia nia walikubaliana na hoja zote na kusaini petisheni ya kuunga mkono mpango wa "no refrom no election," yaani "hakuna uchaguzi kabla ya mabadiliko."

View: https://www.instagram.com/p/DIBMHZmgmUV/?igsh=OTByM3UzbDQ4aDFz
 
Back
Top Bottom