Asee tuacheni utani

Hata kaharufu ka-kwapa kale ka kischana (sio ile harufu ya kibeberu mwitu) huwa kanaongeza sana mizuka tofauti na hawa wanaojipulizia perfume nyingi kama dawa ya rungu
Kwapa lililopogwa topaz vizuri liwe.na kaharufu kake, sio ile harufu ya panda kafa juzi, unapitisha pua mule, unakuwa kama beberu yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…