Asanteni wote mnaonishukuru kwa msaada ninaotoa hapa JF

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,467
23,759
Nashukuru sana members wengi wameonekana kupenda jinsi ninavyotoa mchango wa busara, hekima, upendo na akili ya kiwango cha juu humi JF.

Watu kadhaa wanasema nimeokoa maisha yao kipindi ambacho walikuwa wamekata tamaa na kuona bora wafe tu. Watatu walikuwa wamesha saga chupa wanasubiri tu kunywa, wanne walikuwa wamenunua sumu ya panya wakaamua kuacha kunywa wao na kuulia panya.

Wawili walikuwa wakajigongeshe kwenye magari ya mwendo kasi. Nashukuruni ila msinisifie sana mimi ni binadamu kama ninyi sema tu nimepata maarifa ambayo wengi hamkupata.

Mademu sasa ndo imekuwa kero kila mmoja anakuja akitaka nikamchape nao.... Naona hawa kama watanimaliza damu mwilini. Maana wanaenda simuliana inakuwa shida. Jamani tu jaliane pia. Afya ni muhimu. Na ule msemo wenu kuwa kama si JUHUDI ZAKO CHEESE MAARIFER JF INGEKUWA WAPI. Msiseme hivyo mtasababisha watu wanichukie.
 
Na sisi tunakushukuru Kwa kuonyesha upimbi wako hapa. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Naskia kila sehem watu wanalalamika kuhusu bei ya mahindi
 
Utarukiwa tu siku zote na wenzio watakuunga mkono kama ambavyo umeamua kutumia ID yako na kuji like comment yako. Unachukia sababu mimi huwa nakuchana ukileta za kiduanzi kujifanya una ujuaji na wengine wanakuogopa sababu ulikuwa unawapa stories za kichawichawi. Mi mental uchawi hauji kwangu bwege wewe.... Nyapu kabisa. Ngurukie tena? Shauri yakom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…