Asanteni ITV kwa kutorusha habari ihusuyo Manji kuitwa Uhamiaji

Tinde nsalala

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
248
253
Heko kwenu kwa kuipotezea habari ya kamanda fulani wa Uhamiaji imuhusuyo mhindi wa watu.

Hakika ninyi sasa mmeanza kurejelea ktk ubora wenu wa kuzihakiki habari km ama ni za kizushi au la kabla hamjazirusha hewani.

Safi sana. Habari za maonevu namna hiyo si tu hazina maana ya kuzirusha bali hata kuzipa kipaumbele.

Mungu awe nanyi daima.
 
Heko kwenu kwa kuipotezea habari ya kamanda fulani wa Uhamiaji imuhusuyo mhindi wa watu.Hakika ninyi sasa mmeanza kurejelea ktk ubora wenu wa kuzihakiki habari km ama ni za kizushi au la kabla hamjazirusha hewani.
Safi sana.Habari za maonevu namna hiyo si tu hazina maana ya kuzirusha bali hata kuzipa kipaumbele.
Mungu awe nanyi daima.
Hivi ile shilingi moja ililipwa yote?
 
Seke seke la Manji vs Mengi liliishia wapi..?
Manji si anamdai Meng shiling 1..
Halafu huyu kanjibah si anadaiwa kutaka kumwekea mtt wake mng unga, au ilikuwaje hii movie..pengine washamaliza tofauti zao!
 
Watu hawajaelewa kwann Mzee Machache kashindwa kutumia upawa vizuri kumuwajibisha Manji....Fuatilieni ile kesi. Alidaiwa Sh 1 na nini kingine??
 
Hawa IPP nahisi wapo kwenye list ila haijapatikana ndoano imara.
Ni kweli mkuu. Yaani Si muda tutaanza sikia maigizo juu yake. Hukawii kusikia Maji ya Kilimanjaro yana chemical chafu na zimeua watz zaidi ya million tano...tunamtandika baba k Lyn miaka ya kutosha.

Au wanasingizia Mzee Mengi kambaka k lyn
 
Ni kweli mkuu. Yaani Si muda tutaanza sikia maigizo juu yake. Hukawii kusikia Maji ya Kilimanjaro yana chemical chafu na zimeua watz zaidi ya million tano...tunamtandika baba k Lyn miaka ya kutosha.

Au wanasingizia Mzee Mengi kambaka k lyn
Yaani Baba wawili ni muda unasubiriwa tu....
 
Hawa IPP nahisi wapo kwenye list ila haijapatikana ndoano imara.
Hiyo ndoano labda tumuazime Mungu ile nguvu inayoshikilia dunia kuzunguka kwenye mhimili wake vinginevyo hata chuma cha reli hakitoboi

NB najua huamini uwepo wa Mungu
 
Naomba kuuliza hivi manji hiyo tuhuma ya vibali vya uraia na kuwaajiri watu kinyume na sheria za nchi kaonewa
 
Back
Top Bottom