Ni uchungu mkubwa lakini Tutakumbuka kwa Upendo na Mengi Ulioyafanyia Taifani Mwetu!
Tuna mengi ya kusema ila' God lead you to this point'
Asante Sana kwa Utumishi Wako na Kufundisha Ni nini Maana ya Uongozi. Sisi Kama Chadema na Nchi nzima Tumeshukuru kufanyakazi na Kupigania Haki ya Taifa.