Asante mzee Seleman Msasa 'kitu chuma'

maliyamungu

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
564
412
Leo nimekutana na Mzee Seleman Msasa enzi ya mapambano ya mkoloni walimwita kitu chuma jina alilopewa na Mzee Mtoro ambaye mwenye nyumba kwa sasa ndio umejengwa msikiti wa Bakhresa.

Tumeongea mengi sana kati ya yote lililonichoma pale aliponiambia vijana nyie wa kileo mngekuwa miaka ya kupambana na mkoloni kupata uhuru wetu mngekuwa ni kizazi chenu mpaka leo nchi ingekuwa haijapata uhuru sababu ulikuwa utawala wa mabavu na usio na sheria.

Then kaishia hapo tukaagana nimekaa nimetafakali sana kamaanisha nini nimeleta kwenu jamvini ndugu zangu. Uwanja huo karibuni.
 
Mnamshindwa Bakayoko mngemuweza Mungereza? Ukijibu hili swali ndo alichomaanisha Kitu Chuma.
 
Ungemuuliza pia, mpaka leo ni nchi gani inatawaliwa na mkoloni??
Hizo nchi nyingine zilizopata uhuru ni wao ndio walimtoa mkoloni..
Ungemuuliza pia pamoja na kumtoa mkoloni mbona walishindwa kuifanya tanzania kuwa Tajiri na kuacha urithi kama babu zao na akina Trumph, babu zao na akina Putini, babu zao na akina Rooney..
Tunahitaji pia kuwalaumu maana inaonekana pia wao ndio chanzo pia cha hiki kizazi..
 
Back
Top Bottom