Asante Mwanza, UKAWA sasa BAI BAI

 
Last edited by a moderator:
" Nendeni kwenye mikutano ya kampeni muwasikilize wanasema nini kisha linganisheni muliyoyasikia ili siku ya uchaguzi mufanye maamuzi sahihi"- by mimi.
 
Mgeja kamkimbia Lowassa siku hizi baada ya kutafuna pesa ya kuwapelekea Masheikh wa CUF haonekani nafas ya kugawa 'mafuriko' kapewa Makongoro Mahanga
 
Naona fiesta imeisha vizuri hapo Mwanza ingawa ilitanguliwa na mkasa wa kifo cha Afande muongozaji wa Msafara jpm.
 
Hivi diamond alikuwepo leo? Achilia mbali key artist ambae ni magufuli teh teh
VIVA UKAWA!!!
 
Subiri hapo uone watu wanavyotafuta malori ya kurudi bariadi,geita,na wilaya zote za mwanza wengi watalala hapohapo uwanjani msiicheze na ukawa mtalala uchi nyie fisiemu
 
Hebu tuonesheni na walipokuwa wanaenda uwanjani maana Lowassa walionesha walipokuwa wanaenda uwanjani kwa miguu
 

Leadership is to get followers. Do people follow you willingly?
 
Ukawa bai bai
 

Attachments

  • 1445101066755.jpg
    15.2 KB · Views: 169
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…