Najiandaa kuanza kutengeneza dawa kabisa si kinga pekee,ila kwa sasa hakuna kinga yake ndio maana naogopa kuitoa hata formulae tu.
Kivipi tena mkuu.Dr SHIKA aka Nabii TITO Mwingine.
Ni ngumu sana nakuhakikishia.Utashangaa siku umeweka wataalam wanakutibia tatizo kwa muda ambao wewe bado unatafuta tiba.
Release hiyo virus yako haichukui hata nusu saa tutakuwa tumeshakafyekelea mbaliNi ngumu sana nakuhakikishia.
Ni ngumu sana nakuhakikishia.
Utaendelea kuamini hivyo hadi utakaposhangazwa na wengine.
Samahani mkuu sitaweza kukuambia.Umetumia program ipi kutengeneza Huyo kirus?
,Habari zenu,
.
Mwaka 2001,niliamua kuwa karibu na kompyuta.Katika mambo mengi,nilikutana na neno Virus,Nilitaka kufahamu inasababishwa na nini?halafu nikafanikiwa kufahamu namna ya kukabiliana na virus iwe kwenye kompyuta ama device nyengine yeyote.Swali likaja,virus inatokanaje?nikajikita hapo!Kwa kifupi,kirusi kinachosumbua kwenye kompyuta ama kifaa kingine ni suala la kanuni tu na inakuwa,na ni kwa namna yeyote unayotaka iwe.Virus hii niliyoigundua ni hatari sana.Hakuna device inayoweza kupona,na niwaombe radhi ndugu(kama wapo humu)maana home nimeharibu laptops 3 na kompyuta 1 ya mezani(Nikiwa natest ufanisi wa virus)kwa utafiti wangu bila wao kujua.Wamepoteza pesa nyingi kwa mafundi bila mafanikio.Hatimaye baada ya miaka 18 namshukuru Mungu nimetimiza lengo langu na natangaza rasmi kugundua Virus.
msimzarau huenda akawa amegundua kitu kimpyaDr SHIKA aka Nabii TITO Mwingine.
Hamna kitu wanajza server tu na mASHUDU yao.msimzarau huenda akawa amegundua kitu kimpya
,
Wenzako wanagundua virus na anti virus,
Na uhameeee nyumbani
Nitaipata tu.Sasa kama haiwezekani kuuwawa,utagunduaje tiba.
hahahah, weee jamaaa😀😀ikitiki unishtue tukatege na zile computer za NEC 2020