Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,250
- 2,870
Jina lipo,ila huna uwezo wa kupambana nacho mkuu,hapa nataka nikatest zile computer za Udom college of Info.Hicho kirusi chako kinaitwaje?
Ukikirelease fasta tunakipiga counter attack unakuwa umepoteza miaka 18 kucheza tu
Ni pm email yako mkuu kama hutojali.Sizani kwa muabdiko huo km unaweza hata kutengeneza bussiness card ktk computer achilia mbali virus
Ila ndoto ni ruhsa kuota unapokua na usingizi
Mm sina hiyana mkuu , shida si email tu nakutumia si mdaNi pm email yako mkuu kama hutojali.
Jina lipo,ila huna uwezo wa kupambana nacho mkuu,hapa nataka nikatest zile computer za Udom college of Info.
Nilitengeneza kisha nikagundua,kuna kanuni tofauti tofauti ambazo ukizitumia kwa namna tofauti basi unapata virus katika namna tofauti.Sasa mimi nimegundua virus wa namna tofauti na wengine.Hivi kugundua ndo kutengeneza eeh??
Poa.Mm sina hiyana mkuu , shida si email tu nakutumia si mda
ππππππππ±duuuh. Nimecheka sanaSizani kwa muabdiko huo km unaweza hata kutengeneza bussiness card ktk computer achilia mbali virus
Ila ndoto ni ruhsa kuota unapokua na usingizi
Usijali mkuu nitakushtua.ikitiki unishtue tukatege na zile computer za NEC 2020
Yes.Umetengeneza HIV/AIDS ya computer?
Anza kujifua kutengeneza kinga sasa.Yes.
Hongera mkuu,mimi ndiyo nagundua leo,ni kirusi hatari sana nakuapia na usiombe ukutane nacho.We ndo umegundua leo wenzio tulishagundua nakutumia hata kwenye simu ya tochi
Dr SHIKA aka Nabii TITO Mwingine.Habari zenu,
.
Mwaka 2001,niliamua kuwa karibu na kompyuta.Katika mambo mengi,nilikutana na neno Virus,Nilitaka kufahamu inasababishwa na nini?halafu nikafanikiwa kufahamu namna ya kukabiliana na virus iwe kwenye kompyuta ama device nyengine yeyote.Swali likaja,virus inatokanaje?nikajikita hapo!Kwa kifupi,kirusi kinachosumbua kwenye kompyuta ama kifaa kingine ni suala la kanuni tu na inakuwa,na ni kwa namna yeyote unayotaka iwe.Virus hii niliyoigundua ni hatari sana.Hakuna device inayoweza kupona,na niwaombe radhi ndugu(kama wapo humu)maana home nimeharibu laptops 3 na kompyuta 1 ya mezani kwa utafiti wangu bila wao kujua.Wamepoteza pesa nyingi kwa mafundi bila mafanikio.Hatimaye baada ya miaka 18 namshukuru Mungu nimetimiza lengo langu na natangaza rasmi kugundua Virus.
Najiandaa kuanza kutengeneza dawa kabisa si kinga pekee,ila kwa sasa hakuna kinga yake ndio maana naogopa kuitoa hata formulae tu.Anza kujifua kutengeneza kinga sasa.