lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
hONgera.. ila umkumbuke na MUNGU wako pia Baada ya mshahara wako wa kwanza kuingia.
Shukrani kwa kututia moyo. Ila na wewe tumikia Taifa lako kama ulivokua unajisemea moyoni kabla hujapata ajira, sio unaanza mambo ya wizi wizi.
Ila hujatuweka bayana umepataje kazi? Ingawa sio lazima utaje kazi yako wala kampuni, ila je, umepigiwa pande? au umeteseka sana? Umetoka school moja kwa moja ukapata kazi au umesugua miezi 12+ mtaani?
Swali zuri,mimi nimekaa mtaani zaidi ya miaka miwili manake tangu nimalize chuo sijawahi kuajiriwa zaidi ya kuitwa tu kwenye interview na mwisho wa siku sipigiwi simu ya kuitwa tena.Kazi hii nimeipata kwa nguvu zangu kwa kutuma maombi hatimaye kuitwa kwenye usaili,naomba ikumbukwe kwamba sina mtu yoyote aliyenipigia pande kwenye hii kazi isipokuwa ni jitihada zangu binafsi ndo zimenifikisha hapa.Thanks
Hongera sana
tatizo wadau wengi humu wameshakariri kuwa kupata kazi ni lazima uwe na mtu wa kati!! hayo ni mawazo ya kutokujiamini..big up kwako.
tatizo wadau wengi humu wameshakariri kuwa kupata kazi ni lazima uwe na mtu wa kati!! hayo ni mawazo ya kutokujiamini..big up kwako.
Hongera sana ndugu.Heshimu sana kazi yako na uliowakuta pia usiwe mjuaji ukaleta ushule shule.All the best
wapo wachache wanabahatika kupata bila pande ila wengi ni pande kubali kataa