Asante Mungu kwa kuniepusha na huu mchepuko....!

Kwahiyo tunachangia nini? Kukupongeza au?
 
Hivi sio wewe juzi kati ulikuwa unauliza kama unaweza kupata mchumba wa kuaminika kwenye mitandao ya kijamii? Tena ukasema umewapata wapenzi wawili ila huja - duu nao bado mmh...
Thread yake nyingine kasema kuna dada lazima amkaze kwa sababu amejua anauza bar....huyu mtu ni jipu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…