bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Kwa muda sasa kumekuwepo na dhana potofu kuhusu vijana na utendaji wa kazi. Ni miaka mingi nchini kumegubikwa na upotoshaji wa kuwa vijana hawastahili kupewa nyadhifa kubwa za kuongoza kwa hofu ya kuwa hawana uzoefu na kutilia shaka uwezo na uzalendo wao.
Nakupongeza mh. Mafuri kwa kukaa kukaririshwa dhana potofu ambazo hazina uyakinifu wa kitafiti kwa kutuamini vijana katika kushika nyadhifa mhimu katika nchi. Kitendo chako cha kijasiri katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi na makatibu tawala mikoa na wilaya tunaona mwanga mbele asante kwa hilo.
Binafsi hoja za wanaodai vijana hawana uwezi ulikuwa mkakati wa kikundi kidogo cha watu waliokuwa wamejimilikisha nchi hii na kuigeuza kuwa yao, ulikuwepo utaratibu wa watu kuwaandaa watoto wao washike nyadhifa za baba zao mara baada ya kustaafu wao hii hali imekuwepo muda mrefu sana tangu uongozi wa mzee Ruksa na imeota mizizi kipindi cha mzee wa uwazi na ukweli ikakomaa awamu ya mzee wa msoga kiukweli ilikuwa ni upilato usiovumilika na tushukru kwa ujio wako maana pona yetu ilikuwa ujio wako ambao ulighubikwa na jinamizi la ombwe ya uchaguzi ulikuwa na drama za kukatisha tamaa vijana.
Mwisho niwaombe vijana mlio aminiwa na mh. Rais mchape kazi kuleta mapinduzi na kuhakikishia umma kuwa wakichelewesha maendeleo ya nchi hii kwa kutowaamini vijana. Na pia niwashauri wateule wote kuweka mikakati ya kuwaandaa vijana katika kubuni na kutumia fursa za kiuchumi katika nchi yetu.
Niwapongeze wazee walio amua kulalamika kimya huku wakiomba vijana waharibu kuprove theory yao huku wakisahau kuwa vijana ndiyo wenye HISA kubwa katika umiliki wa taifa hili na wanatakiwa kuchangia sana zaidi yao. Niwashukru sana kwa kukubali shingo upande kukadhi ofisi kwa vijana.
Mwisho nikuombe mh. Rais wangu MAGUFURI usitulaamu vijana wako kuwa tu wavivu wa kuchapa kazi ls hasha shida ni kuwa mfumo wa kiuchumi nchi hii hautuwezeshi VIJANA kuwa wazalishaji wakubwa na WANUFAIKA wa kwanza wa uzalishaji ebu waangalie vijana kwa jicho la ziada hasa graduates ambao unawezs kuwatumia kuwaongoza VIJANA wenye elimu ya katika uzalishaji na kukuza pato la nchi. Ilivyosasa kuna shida moja kwamba GAPE la mawasiliano kati ya vijana wasomi na waliokosa fursa ya elimu hawa wote ni mhimu katika kuzalisha na maendeleo ya nchi ila sasa mfumo wa uchumi hauwakutanishi badala yake ni maadui wakubwa hawapikwi chungu kimoja.
Wako kijana wako mzalendo.