Asante Magufuli ila chamoto nimekiona

Nimeamkiaa safari toka Geita nilikolala saa kumi na moja alfajjiri sasa ni saa moja kamili ndo nawasiri Chato
 

Amekudanganya siku hizi baada ya kuwekwa lami hakuna kutekwa tena, na hapo mpaka katoro ni dk 30 tu na siyop saa moja ila sisis wa kujitungua tunatumia dkl 20 tu
 
Mama yangu weeeh! kumbe Chato ni shimoni, mdogo wangu kapangiwa huko kama Clinical Officer.... Ngoja nimpigie cm arudi fasta.
 
Maajabu kumbe wana jf tunaogopana! KIBURUDISHO kafikahapa chato pamoja na kumkaribisha ameshindwa hata kunitafuta! Aya namtakia maisha mema hapa chato
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…