Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu nimeufuata na sasa Niko single....
ANGALIZO... No pm sina mpango kwa saiv, na enjoy this life for real
Una enjoy kuwa single[emoji15] ? I don't buy that. Mtu ane enjoy kuwa single ni yule amabe hajawagi kuingia in a relationship. Hiyo eti ooo I am happily single, single life rocks... Kujipa moyo tu.Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu nimeufuata na sasa Niko single....
ANGALIZO... No pm sina mpango kwa saiv, na enjoy this life for real
Mtaa wenu si unaujua lakini ulivyo?
Yaa n kweli na nakubaliana na ww, lakini moyo na akili vikishaamua nothing can stop. Nimeamua kuachana na mambo ya relation na saiv sioni kama kuna kitu namiss, so Niki notice may BEUna enjoy kuwa single[emoji15] ? I don't buy that. Mtu ane enjoy kuwa single ni yule amabe hajawagi kuingia in a relationship. Hiyo eti ooo I am happily single, single life rocks... Kujipa moyo tu.
I know deeply you agree with me. Unajua kabisa hapo unajiboost which is fine. Jiboost iliupate furaha while waiting for someone. But ukweli ndio huo, ukishaonja tu being in a relationship, utamiss company.
Been there, done that.
-callmeGhost
Ooh. Noo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nani kakwambia atakuja PM vijana wa hapa kazi tuu mnapenda kiki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] buy why jamanii[emoji23] [emoji23] [emoji23]ata sijakuelewa.
kama ukiwa single ndo unaandika pumba hivi bora urudi kwenye mahusiano.
Ndo hapo sasa!!!nani kakwambia atakuja PM vijana wa hapa kazi tuu mnapenda kiki.
si vyema mwanamme mwenzangu kutumbukia shimoni wakati nikimwangalia..ila usipitie huko tena..Mkuu asante nakumbuka ushauri wako, ulinivuta nje ya shimo
paprika hali vipi?Ndo hapo sasa!!!
Shwari mkuupaprika hali vipi?
leo/jana nilikutafuta sana but sikufanikiwa..Shwari mkuu
1)Single proper ya kwamba hakutani kabisa na mwanamke amaUna enjoy kuwa single[emoji15] ? I don't buy that. Mtu ane enjoy kuwa single ni yule amabe hajawagi kuingia in a relationship. Hiyo eti ooo I am happily single, single life rocks... Kujipa moyo tu.
I know deeply you agree with me. Unajua kabisa hapo unajiboost which is fine. Jiboost iliupate furaha while waiting for someone. But ukweli ndio huo, ukishaonja tu being in a relationship, utamiss company.
Been there, done that.
-callmeGhost