Asante kwa kunichezea na kunipotezea muda

Unaweza ukayaacha ili yakue yenyewe na yakakuteka kweli, sasa inapokuja point ukaachwa hewani ndo pale maneno kama hayo lazma yakutoke

kwan ni ndoa hiyo hadi uzidi kumganda mwenzio?hata ndoa kama haieleweki kuna sheria zake?
 
Lazma muleta uzi awe muhusika wa janga hili pande moja wapo, kusaliti au kusalitiwa,,!
 
baeleze bwana ndoa sio kiuno tuu. alafu nyie ata muambiwe ukweli kuwa hapa twagegedana tuu bado mtaleta somjo oh unajua nakupenda and all that.

tatzo mabinti tukipenda mwe.huruma yaan.ukimkuta anajieleza unaweza chapa viboko.lakin wap.had yamkute ndo akili inamkaa sawa..
 
Lazma muleta uzi awe muhusika wa janga hili pande moja wapo, kusaliti au kusalitiwa,,!

uzuri jf bana,watu kama nyie hamkosekagi.lakini inaleta ladha ya mdahalo.asante kwa kushiriki
 

Hakika leo umeonyesha uko "strong"
 

The time you enjoy wasting,is never wasted.

Hakuna kuchezewa huwa ni kuchezeana tu.
 
Mm sisem ukweli... kuumia kwene mapenz ndo mapenzi yenyewe... ni kama kucheza kamali ukiliwa ndo mchezo, ukila inshaalah
 
Mungu atusaidie tu kupata wenzi wetu hii kitu ngumu sana na ishaharibu sana maisha ya watu
 
viva, long live machangudoa, kwani kila leo wanaachwa na hawalalami
aidha wanakupa fursa ya kukimbiza fedha
mpaka utakapooa
sasa nyie mnaozini kwa kudhani ni halali hampaswi kulalama igeni mfano wa machangudoa manke hamna tofauti as long as hamjafunga ndoa.
 
Ukimwambia mdada kuwa unamuhitaji kwa starehe tu, na akakubali, mbeleni anaanza kufanya makeke iwe milele. Aisee wanawake wana roho ngumu sana ya uthubutu!

Kuna ninaemfahamu anatarajia mtoto wa pili kwa mtu aliemwambia tangu mwanzo hawaendi kwenye ndoa. Na bado anatumaini jamaa atabadili mawazo. May be! Ila anacheza kamari ya hatari!!

Naye atakuja kusema "asante kwa kunichezea na kuniharibia maisha".... Dada zetu wana roho ngumu sana wallah. Dah!
 
Hata Mimi sasa hivi inabidi niwe makini wanawake wananichezea na kuniacha wananipotezea muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…