habari za jioni.
maneno tajwa hapo juu yamekua yakisemwa na w/wake wengi na wanaume
baadhi pindi mahusiano yanapovunjika.Bila kuzingatia alikua mpnz wako wa
1 au wa 873...
m hujiuliza hivi kwanini useme hivyo?
1.ulimfanyia mambo mengi mazuri ukitegemea yatamteka akili na kuto
kukuacha?
2.ulijiheshimu bila kuchepuka ukijisemea peke ake ndo aujue mwili wangu?
3.ulikubal akubikiri.ukidhani ndo zawadi pekee m/me au m/ke ata
changanyikiwa nayo?
4.ulikua humuombi pesa.ndo kwanza unamsaidia akikwama.
5...
.... USHAURI WANGU KWENU
Usimfanyie mtu jambo jema ukadhani ndo itakua dhamana ya kuto
kukuacha..wengi hulalamika nimemsomesha,nimemfungulia biashara..n.k.
mfanyie jambo mwenzio kwa mapnz yako na si njia ya kumteka au kwa
kutegemea jambo bora zaidi toka kwake..acha mapnz yakue yenyewe kati
yenu..
njia nzuri ya kutojutia mahusiano.ni kumpenda mtu kwa moyo wako
wote.wengne wanasema ingia hadi na viatu.fanya yale yote ungependa wewe
ufanyiwe bila kutegemea something in return..mapnz yakiisha..utaumia
kihisia lakini utakua na ujasiri wa kusonga mbele.kwa kua haikua
rizki..