Asante Kinana umetuokoa

angetimiza asilmia tisini tungekuwa tumeikaribia south korea kiuchumi na kila kitu, yani ukweli ni kuwa katimiza only 0.02% na hii ni swala la kufanya uchaguzi after 5yrs in office,atleast hajajiongezea muda!other ahadi zero! inflation inatisha nchini,tutakwa kama zimbabwe soon!
 
At least anajitahidi kujibu hoja sio kama walio ogopa na kukimbia midahalo
 
" Doctor" kikwete anaogopa presentation ha ha ha haaaaaa
 
mimi si mwana chama wa chama chochote cha siasa, na sina nafasi yoyote katika chama chochote, ila kama huyo A.Kinana anathubutu kuhojiana na Dr Wilbrod Rais mtarajiwa awamu ya 5. na mimi acha ni seme kinana wewe ni campain manager wa kikwete, na wewe mwenyewe unaona upepo unakoelekea, mimi na kisihi tu kwa usalama wako, wewe, makamba, chiligati, na wale wenzenu, mpigie kura Dr Slaa, kwani kushinda hakupo tena, wajanja wamekuweka wewe chambo upambane na rais wako!!, unacheza wewe, utamfuata babu seya kule aliko! narudia tunaomba kura zenu, kwa Dr Slaa, mwambieni na Salma, na huyo mtoto wake. wajiandae kulipa hizo pesa za serikali wanazotumia maana wao hawana chama cha siasa. mpe habari makamba.
 
Ni kweli alitumwa na chama au ni Kiherehere chake tu?
 

Mbona juzi alimkimbia? Au dili za Tembo zilikuwa hazijafumuka wakati ule?
 
Mbona juzi alimkimbia? Au dili za Tembo zilikuwa hazijafumuka wakati ule?

Mtu mzima kwa sasa hali ni mbaya, hawezi kuonekana kwenye midahalo mpaka hapo kutakapopatikana ishu nyingine ya kubalance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…