Asante JF,MMU members

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
477
Ni kawaida kwa wadau mbalimbali humu kuomba msaada hasa wa kimausiano. Nasema asante sana wadau humu jamvini kwani maujuzi na mbinu mbalimbali(zilizonzuri)mnazoweka humu zimenisaidia kuimalisha mahusiano yangu na mwenzangu hasa zile tips8 we acha tu! Ingawa hatujuani lakini mmenisaidia sana thanks for mzizi mkavu et al

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni kawaida kwa wadau mbalimbali humu kuomba msaada hasa wa kimausiano. Nasema asante sana wadau humu jamvini kwani maujuzi na mbinu mbalimbali(zilizonzuri)mnazoweka humu zimenisaidia kuimalisha mahusiano yangu na mwenzangu hasa zile tips8 we acha tu!

mdeki ina maana hizo tips 8 umezi uply zote au baadhi ya vipengele?
 
Jf ni chibhoko aisee
Halafu mwanzo wakati naona mada zile nilikuwa nazipuuza lakini baada ya siku moja kuingia maabara nikaamini


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…