Asante Gadgets & Science Forum

Ziada

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
82
Reaction score
17
Napenda kutoa shukrani kwa Jamiiforums na member wote katika jukwaa hili, muda mrefu nilikuwa na wazo lakufungua blog ila sijui hata pakuanzia , nashukuru nilipitia thread mbalimbali kuhusu namna ya kuanzisha blog na jinsi ya kupata google adsence.

Baada ya kufungua tu blog nilifatilia tips zote na nimefanikiwa kupata adsence ndani ya siku 13 tu.

Kikubwa sasa naomba tips za kuifanya blog yangu iwe na traffic kubwa asanteni
 
njia ya kwanza mtoa post, weka hapa blog yako unaficha ya nin? tuoneshe tuanze nayo, uanze pataTraffic kubwa.

tumia Twitter, Facebook and Google share Posts zako & Na kutafuta Connections mpya..

Ukijilink na izo social network lazima tu visitors watakua wakutosha plus your creativity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…