Unauzaje dumu la lita 20Habari wadau, nauliza mwenye kujua soko la Asali ya nyuki wakubwa kutoka singida wadau naomba tujuzane tafadhali.
Hayo ndo manenoKiasi kilicho bakia ni lita 20 naiuza yote Kwa bei ya jumla 140,000. Mawasiliano zaidi ni 0620472101 wakuu.
Niuze Lita tano basSawa mkuu.
Poa ntakuchek mwayaAina tabu tuwasiliane namba tayari nimeshaweka au nitumie zako Kwa mawasiliano zaidi.